mkuu nashukuru sana kwa msaada wa jinsi ya kutambua music system nzuri. Mimi nipo nje ya Bongo. Nilienda sehemu nikakukuta home thearter ya phillips 600 W inauzwa kama dola 400., nyingine 800 W inauzwa dola 800. Huku kidogo mataka taka ya china hawana sana na waliniambia yenye 800W ni kubwa mno kwa matumizi ya nyumbani so 600W ni nzuri. Kweli subwoofer zake ni nzito. Uzuri watu wa huku ni wa kweli kwa kiasi chake. Unazijua product za phillips. Maana huku sony, panasonic ni ngumu kuzipata.Thanx
Hello
Samahani mkuu, kama upo TZ unaweza ukawa na gazeti la Mtanzania la jana?
Mimi nipo nje ya nchi, Finland. Kunatangazo la ajira UDSM, jamaa kanitumia email. na jamaa hana kopi. naomba kujuwa
isambi