Elections 2010 Madiwani wawili CCM Rorya Wajiuzulu wadai rushwa imekithiri CCM makao makuu lumumba

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,943
427
Chama cha mapinduzi CCM Wilaya Rorya kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili kutangaza kuachia nyadhifa zao

Waliochukua hatua hiyo ni Ongujo wakibara Diwani wa kata ya Mkoma shirati na Lukio

Ambogo diwani wa kata ya nyaongo,katika madai yao madiwani hao wamesema

wamechukua uamuzi huo kutokana na CCM makao makuu kukithiri kwa Rushwa Ongujo na

Ambogo walisema '' Sisi tumeamua kuachia nafasi za udiwani katika kata zetu na kuachia

wanachama wengine kuwania nafasi hizo kutokana na uongozi wa CCM kukithiri kwa

Rushwa ,hali hii inatishia uhai wa chama yusuph Makamba katibu mkuu wa CCM na huyu repota wa ITV na Radio one

george maratu wananjaa kali imefika kioindi wamepofuka wanachoangalia ni matumbo yao

tu ,hawajali maslai ya jamii tena tunashangaa ITV na Radio one kwanini wameshindwa

kumuondoa george maratu kuwa ripota wao hapa musoma huyu mwandishi ni mla

rushwa mkubwa amekuwa msemaji wa Lameck Airo badala ya kurepoti habari zenye tija"'
 
hahaha!!

hata mwezi haujaisha tangu kuapishwa kwa askari wa miavuli, waadilifu na wachapakazi?

mimi nasoma tu alama za nyakati.
 
sasa ni muda kwa chadema kwenda kuchukua hizo kata. hao jamaa wameona vitu alivyoahidi rais wao jeikei hawataweza kuwatimizia wananchi, hivyo wameamua kujiondoa kabla ya aibu...
 
Chama cha mapinduzi CCM Wilaya Rorya kimepata pigo baada ya madiwani wake wawili kutangaza kuachia nyadhifa zao

Waliochukua hatua hiyo ni Ongujo wakibara Diwani wa kata ya Mkoma shirati na Lukio

Ambogo diwani wa kata ya nyaongo,katika madai yao madiwani hao wamesema

wamechukua uamuzi huo kutokana na CCM makao makuu kukithiri kwa Rushwa Ongujo na

Ambogo walisema '' Sisi tumeamua kuachia nafasi za udiwani katika kata zetu na kuachia

wanachama wengine kuwania nafasi hizo kutokana na uongozi wa CCM kukithiri kwa

Rushwa ,hali hii inatishia uhai wa chama yusuph Makamba katibu mkuu wa CCM na huyu repota wa ITV na Radio one

george maratu wananjaa kali imefika kioindi wamepofuka wanachoangalia ni matumbo yao

tu ,hawajali maslai ya jamii tena tunashangaa ITV na Radio one kwanini wameshindwa

kumuondoa george maratu kuwa ripota wao hapa musoma huyu mwandishi ni mla

rushwa mkubwa amekuwa msemaji wa Lameck Airo badala ya kurepoti habari zenye tija"'

CCM ni chama cha wala nchi, CHADEMA ni chama cha Wananchi!!! Karibuni kwenye chama cha Wananchi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom