MJADALA wa madai ya katiba mpya jana uliendelea kupamba moto wakati Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa alipojitosa kwa kusema kuwa kkatiba mpya inatakiwa kabla mambo hayajaharibika na...
Mhe Mbunge wa rorya Lameck Airo ametishia kujiuzulu ubunge baada ya mgogoro kuibuka juzi baada ya kamati ya siasa kukata jina la rafiki yake charles Ochele obuto kugombea uenyekiti wa...
The oil giant Shell claimed it had inserted staff into all the main ministries of the Nigerian government, giving it access to politicians' every move in the oil-rich Niger Delta, according...
Kamati Kuu (CC) ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeitaka serikali kuchukua hatua za haraka kufanya mabadiliko makubwa ya Katiba ya nchi kwa kuwashirikisha wadau wote, vinginevyo...
Kwanini Serikali inaendelea kukumbatia wakuu wa wilaya na hawana kazi yeyote ile ya kufanya. Si cheo cha kisiasa wala cha kiutendaji ni mvurugano tu ndani ya wilaya kwani huwa ni wasumbufu kwa...
Dalili nimeanza kuziona kuwa yapo makundi mblimbali ya watu wanaopigania katiba mpya lakini hofu yangu ni kuwa mjadala huu umeanza kupoteza maana kwani CHADEMA wamekuwa wakiufanya kama mtaji wa...
GrEaTtHinkers,
Mkoani umeme wenyewe wa shida,kila kitu kiko ubungo
vijijini hata bodaboda 97% haziwezi kufika-hamna barabara nzuri
Mawilayani watu ni maskini, hakuna biashara kule mafisadi...
Katika wakati huu wa utandawazi, ukweli na uwazi, na wakati ambapo serikali imejikita kutokomeza wizi wa mafedha kwa mtandao, watu kadhaa wamekamatwa na polisi wanaendelea na uchunguzi. kama...
I had the misfortune of reading an article on the English section of ippmedia.com today. It badly hurt my feelings. To let you know what I mean, I will paste it below, with my comments liberally...
Baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba kumekuwa na kelele nyingi kidogo za kutaka tuandike katiba mpya. Kelele hizo zinatoka pande mbalimbali ikiwemo baadhi ya wanachama wa chama tawala.
Tumeanza...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala hapa JF inachokihusu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), lakini mijadala hii mara nyingi imekuwa ikiishia kwenye Malumbano, watu kuitana Majina ya Ajabu...
Ikiwa leo jaji ocampo kataja majina sita ya watuhumiwa wa uvunjaji wa amani Kenya, ni wazi kukosekana kwa Uhuru Kenyata na Ruto katika kinyang'anyiro hicho kunatoa mwanga kuwa safari ya Raila...
Wakuu heshma zenu, mimi jamni nasapot kwa nguvu zangu zote CHADEMA na Dr Slaa, lakini swali langu ni kua hivi kama dactari kishinda, si atakua na wakati mgumu katika kuunda baraza la mawaziri? hii...
CHADEMA Bara, CUF Zanzibar, kipi kitatufaa?
WATANZANIA wenzangu, nianze kwa kuhitimisha tathmini yangu juu ya CUF, nikizingatia kigezo cha nne, cha utafutaji/utumiaji wa rasilimali kwa ajili ya...
Aliyekuwa Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (kulia, sasa ni Mayor) akikabidhiwa fomu ya kuwania umeya wa maispaa hiyo na Katibu wa CCM wa Wilaya ya Ilala Ernest Charle katika Ofisi za...
Hivi karibuni waziri mmoja mwanasiasa alikataa kwamba matumizi ya internet Tanzania hayapo chini sana. Alidai ilibidi ripoti (sikumbuki jina la waziri na kampuni iliyofanya utafiti) ilingane na...
Kamati Kuu ya chadema imemtambua JK kama Rais halali na kuagiza wabunge kushiriki shughuli zote za kitaifa. Kamati Kuu imekataa kura ya kutokuwa na imani na Zitto mpaka asikilizwe kwanza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.