Jk mawazir na decision makers wote msiwaaamini sana wawekezaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk mawazir na decision makers wote msiwaaamini sana wawekezaji

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Dec 15, 2010.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  • JK alisema watapitia mikataba ya madini upya je tumefika wapi?
  • Je serikali injua hata wawekezaji wa tanzaniaa wanatumia mbinu hizi?
  • Hii imenikmbush waathirika wa tarime walichunika ngozi sababu ya kutumia maji yenye sumu iliyomwagwa na mgodi wa wawekezaji . Je issue hii imefikia wapi?

  • Hii inanikumbusha pi watu waliobabuka kwa kumeza fansida sijui kama wapo waliolipwa fidia.
  Hapa shell walimtishia mwanasheria wa serikali ya nigeria asipofuta kesi wanaibua kashfa zake. Je hapa Tanzania wanasiasa au watendaji wangapi wanaogopa au kushindwa kufanya maamuzi sahihi na ya haki kwa kuwaogopa Mafisadi na magazeti yao

  Je kisiasa hizi issue mbili za makampuni makubwa zinatoa somo,changamoto gani kwa taifa letu na Decision makers wetu
   
Loading...