Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huko Bukoba dau la umeya lilifikia 3-5 mil kwa kura. vigogo wakatafutana madiwani we gi wa CCM walifichwa Chato hotelini. Wachache walionekana wakitokea asubuhi ya jana kwa Mh Mbunge na vitita...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
icc
six peoples who are said to be impoRTANT kenya figures including journalist,government officials,senior political figure where named as suspects who took part on 2007 kenya post elections...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Magazeti yamepambwa na habari hii............. Gazeti la Uhuru lina kichwa cha habari kisemacho...............Umeya Dar: Dr. Massaburi aibuka kidedea...................... Huku gazeti la...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
WanaJF, Habari zenu na poleni na majukumu ya kila siku, nimejaribu kupia hizi picha lakini sipati maana zinazojitosheleza naomba kama mtu anaweza kunipa ujumbe wa picha hizi maana they say a...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
MJADALA wa madai ya katiba mpya jana uliendelea kupamba moto wakati Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa alipojitosa kwa kusema kuwa kkatiba mpya inatakiwa kabla mambo hayajaharibika na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Utawala bora uko ICU nauombea Quick Recovery, kwenye ajali ya maadili viongozi wetu wamepata Serious Injury (ies), wanabishana kuhusu katiba mpya kama ndo wako age ya ...., makusudi wanapindisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Didas Masabauri amechaguliwa kuwa meya wa jiji la Dar-es-salaam
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimesoma katika post hii https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/95475-zitto-ahusishwa-na-rostam-aziz-mwanahalisi-19.html#post1378647 kuwa gazeti la mwanahalisi linasema kuna maongezi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni bora aliyesema madini hayaozi bora tuyakalie....... Hawa wa sasa inaonekana wamesahau kwamba madini haya yanakwisha hayatakaa milele... Hii naifananisha na mzee wako (Mungu) amekupa mtaji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikishangazwa sana na kauli (ninazoweza kuziita kebehi) za washabiki wa CCM humu JF au kwenye chombo kingine chochote cha habari wakiwatuhumu CDM kwa msimamo wao juu ya matokeo yaliyo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hizi ni za chini chini tu jamani. Kama si Mkapa, yule mtoto wa mropokaji angekuwa waziri leo. Mr. Rockerfeller. Sasa analia tu na Malaria Sugu wake. Kama si Mkapa tungetangaziwa baraza within...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau naomba tujadili baraza la sasa la mwaziri; cv zao na uwezo wao wa kazi na kutatua matatizo ya watanzania kwa uzoefu wao ; na hapa nawalenga wale wapya ingawa hata waliopo ni baadhi tu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
M. M. Mwanakijiji Ukiondoa maneno kama “uchakachuaji” na “tume ya uchaguzi” maneno ambayo yatakuwa yanajirudia rudia tena na kuanza kukera watu yatakuwa ni “Katiba Mpya”. Hakuna wakati ambapo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TOKEA kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu mwezi Oktoba, kilio cha kutaka Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimesikika kwa sauti kubwa zaidi na kilio kinazidi kuenea kila kona ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hamu ya wananchi kupata katiba mpya imefikia kiwango cha juu wakati huu tulio nao kuliko wakati wowote ule Ni wakati ambao wananchi wanataka kuweka MUONGOZO Namna ya kuwapata viongozi wao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
CHAMA cha Wananchi (CUF), kimesema kinaungana na Watanzania wapenda demokrasia na mabadiliko kudai Katiba mpya ya Tanzania itakayokuwa na misingi ya kidemokrasia ya kweli na itakayoweka dira ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye amesema siyo dhambi watu kudai katiba ya mpya wanapobaini kuwa iliyopo ina kasoro. Sumaye ambaye alikuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10 katika Serikali ya Awamu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwangwi wa kudai katiba mpya umezidi kusikika kila kona ya nchi baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa juzi kuvunja ukimya na kusema kuwa iundwe katiba mpya sasa kabla mambo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Joao Silva for The New York Times In February 2008, men of the Kisii ethnic group sat among the burning rubble of a building in Chebilat, Kenya, in Rift Valley Province. It is the time of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom