Wakuu wa wilaya hawana kazi yoyote

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,198
2,000
Kwanini Serikali inaendelea kukumbatia wakuu wa wilaya na hawana kazi yeyote ile ya kufanya. Si cheo cha kisiasa wala cha kiutendaji ni mvurugano tu ndani ya wilaya kwani huwa ni wasumbufu kwa wakurugenzi na ukizingatia wengi ni NI VIHIYO.

Basically maofisa wanao report kwa mkuu wa wilaya ni Makatibu tarafu, DAS na wahudumu wa ofisi (wafagizi na wapika chai)

Wilayani DAS anatosha kabisa kuunganisha idara kama polisi, magereza, jeshi, Ulinzi na halmashauri.

This is serious issue and I dont know how we can go about it for a solution. Tukifanikiwa kuondoa hiki cheo tunaweza piga hatua katika maendeleo ya nchi yetu
 
semango

JF-Expert Member
Aug 24, 2010
532
195
tatizo walioshika nchi wenyewe vihiyo.wanatumbua pesa za uma mpaka hazina inafilisika.but mwisho wao unakaribia.
 
Kaka Sam

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
540
0
Kazi wanayo sana kusikiliza matatizo ya wananchi na kuyapa kipaumbele kwa watendaji wa serikali wakati wa vikao vya budget, kama unaona hana kazi basi na raisi nae hana kazi, tuigeuze nchi tuwe na mfalme na malkia watakao kua wanakaa ndani tu alafu tunawalisha kwa kodi zetu.
 
Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,288
2,000
Kazi wanayo sana kusikiliza matatizo ya wananchi na kuyapa kipaumbele kwa watendaji wa serikali wakati wa vikao vya budget, kama unaona hana kazi basi na raisi nae hana kazi, tuigeuze nchi tuwe na mfalme na malkia watakao kua wanakaa ndani tu alafu tunawalisha kwa kodi zetu.

Hebu tupatie wasifu na JDs zao tafadhali.........
 
Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,117
2,000
Mtoa mada nadhani huo ni mtazamo wako tu kuwa hawana kazi za kufanya.
Na ukitazama kwa mtazamo wako utaona hata mkuu wa mkoa hana kazi.
Mkuu wa wilaya ni mtawala aka ovaroli inchaji, ze resti ni watendaji
Kuhusu ukihiyo kwa mujibu wa chama chako cdm elimu sio issue, na ndio maana 2005 mlisimamisha form six urais na pia ni m/k wenu, zuma pia kihiyo kama alivyo Arfi, mgombea mwenza wa slaa, naibu katibu mkuu nk
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
7,768
2,000
Ningependa kuvuta ngazi zote za mkoa na kubaki na wilaya tu. Na wilayani awepo Executive Director ambaye yuko well acquinted na local government and development and administration, ikiwa utawala wa majimbo haupo.
 
BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,198
2,000
Mtoa mada nadhani huo ni mtazamo wako tu kuwa hawana kazi za kufanya.
Na ukitazama kwa mtazamo wako utaona hata mkuu wa mkoa hana kazi.
Mkuu wa wilaya ni mtawala aka ovaroli inchaji, ze resti ni watendaji
Kuhusu ukihiyo kwa mujibu wa chama chako cdm elimu sio issue, na ndio maana 2005 mlisimamisha form six urais na pia ni m/k wenu, zuma pia kihiyo kama alivyo Arfi, mgombea mwenza wa slaa, naibu katibu mkuu nk

Nakuhahakishia hawana kazi dhidi ya kupiga soga maofisini. Kazi za kusikiliza wananchi wanayo wenyeviti wa vitongoji, Vijiji, Afsa watendaji wa kijiji na afsa watendaji wa kata. Afisa mtendaji akata anapeleka taarifa zote kwa Mkurugugenzi.

Huo u overall incharge wa watendaji unatoka wapi wakati hakuna hata mmjoja ambaye yuko responsible kwake? Wataalamu wote ndani ya halmashauri wanaripoti kwa DED na na yeye anaripoti TAMISEMI? Kwenye baraza la madiwani ambalo ndo linajadidili maendeleo DC yeye haingii.

Mzee kama wewe ni DC kula tu vya mwisho mana 2015 itabidi utafute kibarua kingine na kama ni KIHIYO ujue imekula kwako ni kijijini hiyo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom