Majambazi wa fedha kimtandao wanasa kiraiiiiissssi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majambazi wa fedha kimtandao wanasa kiraiiiiissssi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bryn, Dec 14, 2010.

 1. b

  bryn Member

  #1
  Dec 14, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika wakati huu wa utandawazi, ukweli na uwazi, na wakati ambapo serikali imejikita kutokomeza wizi wa mafedha kwa mtandao, watu kadhaa wamekamatwa na polisi wanaendelea na uchunguzi. kama ambavyo vyombo vingi vya habari vilivyokuwa vikiripoti juu ya wizi huu mkubwa tayari watu kadhaa wakiwemo vigogo wanahojiwa na serikali kwa usiri mkubwa. nyeti hizi zimenaswa na viongozi wa vyama vya upinzani na wanajipanga kuzibwaga hadharani hivi karibuni. hata hivyo, chanzo cha habari hizi kinaonesha kuwa na uwezo mkubwa wa kumwaga maevidence na wanatarijia kufanya hivyo hivi karibuni. jiwekeni tayari kwa manewz
   
 2. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tupe source ya habari, lasivo peleka kule kwenye Gossip forum...!
   
 3. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Sasa wamekamatwaje kirahisi ?? fafanua tafadhali..
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  source plz
   
 5. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  If big sharks are involved you can forget about it now, perhaps until the dawn of a new day which at the moment is not yet around the corner.
   
 6. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Nakandamiza hapo hapo
   
 7. b

  bryn Member

  #7
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  desperate man. arent you? just wait soon.
   
 8. b

  bryn Member

  #8
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good view
   
 9. b

  bryn Member

  #9
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  patience inahitajika
   
 10. b

  bryn Member

  #10
  Dec 15, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kwa mwitikio. utapata newz hivi punde
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  News kama hizi tumeshazizoea ni kama sinema actors tofauti ila maudhui ya movie ni yale yale na kawaida sterling hafi.

  Moja ya Sinema hizo ni RADA

  Vyombo vya habri vitapambwa na habari mpya then ...............
   
Loading...