Nyie vipiiii ,Mnataka kubadilisha Katiba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyie vipiiii ,Mnataka kubadilisha Katiba?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Mwiba, Dec 17, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Katiba haiwezi kubadilishwa ikiwa mhusika mmoja hayupo,ni lazima wadau wote wawepo ili mabadiliko ya Katiba yafanywe ,tunafahamu fika kuwa katiba iliyopo haifai kwa vigezo vingi tu kimoja ni hicho cha kutokuwemo mhusika mmoja.

  Kwa maana hiyo ni lazima TANGANYIKA iwepo ili mabadiliko yafanyike ,kwa maana hiyo ni lazima uwepo wa serikali tatu,sanjari na mabadiliko hayo Zanzibar na Tanganyika kwa maana ya serikali ziwepo ili kuunda na kuikubali Katiba hiyo,nijuavyo Katiba iliyopo iliundwa kutokana na kuwepo kwa serikali ya Tanganyika na Serikali ya Zanzibar ,sasa leo vipi Katiba hii itawezza kubadilishwa bila ya kuwepo kwa serikali ya Tanganyika ?

  Ni bora ipendekezwe serikali ya mpito ya Tanganyika ili kuruhusu mabadiliko makubwa ya katiba ,naomba kuwasilisha hoja !!
   
 2. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mmmmmh! ndugu!
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Serikali ya Tanganyika ipo wewe, ila ili iweze kumuoa Zanzinbar kirahisi imejikunyata na kujifanya haipo. Ndio hiyo hiyo inayowachagulia marais wenu.
  Wewe mwiba nyie mlishapata katiba yenu. Wacha sie tupambane kwa ajili ya yetu kisha tutawaita tukae tuunde yetu wote. damn't!!!!!!
   
 4. N

  Nonda JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Wengi humu JF watakuona wewe ni chizi, lakini umekumbushia kitu muhimu sana.
  Mimi niliwahi kuandika kuhusu mada hii https://www.jamiiforums.com/katiba-mpya-tanzania/85631-new-movement-needed-mabadiliko-ya-katiba-uzalendo-25.html#486 kwa nia hiyo hiyo, kutanabahisha kuwa it is not that simple as it seems.Ugumu unazidi, Hasa ukitilia maanani kauli za Viongozi wastaafu, wana CCM na Pinda.

  Naona watu wamejawa na hisia kali na ushabiki kulikoni kupanga mkakati madhubuti wa vipi itapatikana katiba Mpya, time frame, nani ata-coodinate nguvu za vyama, taasisi,asasi na wananchi wanaotaka katiba mpya.

  Kila chama kinachukulia hoja hii kama njia ya kujipa ujiko. Labda vumbi likitulia wataona haja ya kuunganisha nguvu, mawazo na wataalamu wa mambo ya katiba ili kuanza rasmi kuonesha njia kule tunakotaka kwenda. Sasa hivi ni fujo tu, ni kelele tu, mayowe tu , kila mtu, katiba mpya, katiba mpya.

  We need more than kupiga kelele ! Now it is time for Actions, well thought and well coordinated actions!
   
 5. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,194
  Likes Received: 1,914
  Trophy Points: 280
  Wewee jiangalie unapo kula na kipofu usimshike mkono katiba ya zenj kubadilishwa bila TANGANYIKA SAWA ila sasa sio sawa mmegeuza TANGANYIKA Koloni lenu mmeanza wenyewe sasa tulia TANGANYIKA Ifanye vituuu... tulia unyolewe bila maji kama mfanyavyo mwanangu Wee vipi kunya anyege kuku akinya bata Kaharisha mhhh Habari ndiyo hiyo
   
Loading...