Zitto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN
Zitto
Last Activity:
Aug 12, 2016
Joined:
Mar 2, 2007
Messages:
1,193
Likes Received:
89
Trophy Points:
135
Liked:
0

Share This Page

Facebook Twitter

Zitto

MP Kigoma Urban

Zitto was last seen:
Aug 12, 2016
  1. Uliza_Bei
   Uliza_Bei
   I'm very disappointed! How could this be true? CDM expected to win election in 2015 becomes a laughing stock because of leaders fighting? At least I'm always patient. If this rumor (you being used/bought!?!) is verified;then you will not have any chance to win my soul again. Perhaps Mbowe and Zitto may have a chance to sort it out and win the next election, otherwise you are now pushing us back to CCM (big pot may have another trusted member to run and win).
  2. NAPITA
   NAPITA
   Ninawaomba kama viongozi wa Chama msipuuzie kila jambo lichukueni kwa makini na uzito wake kila siku humu wanasema kuna baadhi ya viongozi na watu waliokaribu na viongozi yawezekana hata wewe hao wko karibu yako pia hutoa siri za chama nje ila nashukuru sasa mtakua mmeanza kuyaona.Uhauli wangu wa haraka haraka nyinyi wenyewe kwanza muanze kujichunguza nyie kwa nyie na kuna mengine yataibuka ya siri mtakapo kuwa Dodoma inauma sana pale mnapokubaliana mikakati ya kujenga chama na kukiimalisha chama mara tu mnapotoka siri zinakuwa tayari zimefika upande wa pili wa wapinzani wenu ZINGATIA HAYA.
  3. GIB
   GIB
   Mh pole na majukumu yakila siku. mimi nikijana mpenda maendelewa na mwanaharakati. Naomba kwaridhaa yako nikuulize baadhi ya maswali yanayo niumiza kichwa kuhusu chama chetu .
   Natanguliza shukrani zangu za dhati.
   Wako katika ujenzi wa taifa

   GIB
  4. H
   Hofstede
   Poleni Chadema kwa kuondokewa na mchezaji makini. I believe life goes on. Njia pekee ya kumuenzi Regia ni kuendeleza yale aliyokuwa akisimamia na kuyaamini nayo ni kuwa na CHADEMA madhubuti na iliyoungana kama sauti ya kweli ya wanyonge.
  5. engmtolera
   engmtolera
   pole sana Mh zitto,mungu ndie ajuaye siri ya kila mtu hapa Dunini,hakika tumeondokewa na mtu ambaye kwetu sisi vijana alikuwa ni mfano wa kuigwa
  6. Duble Chris
   Duble Chris
   Pole sana mkuu, nakutakia afya njema upone haraka urejee kwenye ujenzi wa Taifa letu " KILA LA KHERI "
  7. ntagunga
   ntagunga
   utakuwa na miaka mingapi 2015? tunatafuta raisi kupitia chadema mwaka huo, uchukue fomu
  8. ntagunga
   ntagunga
   kaka, nielekeze namna ya kuweka avata kwenye profile yangu, namna ya kuanzisha mada na namna ya kuchukua quote ya mtu na kuifanyia kazi
  9. M
   Mghaka
   CDM;- one part, one people, one ideology, one voice, one unity and diversified thinking but one decission, alone you fall, together we stand and we win the heart of Tanzanians. Aluta continua.
  10. Mungi
   Mungi
   Zitto
   Hongera sana brother! you are perfect mzee nimekukubali thanks, and god bless you!
   Hii technology uliyotumia kitawauma but wakiacha kuchukua posho wataboresha zana za kazi.


   Regard,
   Mungi
  11. Mungi
   Mungi
   Hongera sana brother! you are perfect mzee nimekukubali thanks, and god bless you!
  12. B
   Benno
   Great,
   Badala ya kuwaelekeza wapeleke kwenye account chukua hizo pesa deposit mwenyewe, maana masharti ya ki-uhasdibu yatakubana kidogo.
   Na katika purukushani hizo watakuchafulia Jina
  13. k
   kakini
   kamanda pole kwa kazi

   Ndugu yangu kuna mambo mengi wanayofanya watu as if moto wa kifuu unaowaka kwa pupa sidhani mampambano yetu dhidi ya uonozi mbovu na maovu yanayoendelea kwa sasa ni ya moto wa kifuu

   sisi tupo nyuma yenu tunawataka muwabane hawa mabwana ipasavyo hakuna kupumua hasahasa waziri mkuu maana mpaka sasa hatujaona kazi anayoifanya kama waziri mkuu zaidi ya kumwaga michozi bungeni

   Tafadhali tupo kundi kubwa sana nyuma yenu mkae mkijua 91% ya wananchi kwa sasa wanakubali hoja, kazi muonekano na mapambano ya chadema dhidi ya serikali inyoongozwa na watu wanaojipenda wenyewe
  14. m
   marx
   Aminia mzee zitto. Kazi mwendo tuko nyuma yenu. Naomba saidianeni issue ya mara wananchi wanaumia.
  15. m
   mchukiaufisadi
   Mh. Zitto,

   Usiiache issue ya group endowment ya PPF. Mkulo Kadanganya bunge. Erio kamdanganya Katibu Mkuu Luhanjo na Mkulo. Nakuaminia, mbane CAG akague upya malipo ya 2008.
  16. Shibalanga
   Shibalanga
   Nafurahia comment zako:dance:
  17. B
   BUBERWA D.
   Komaaa sasa wameshaanza kujichuna ngozi baada ya gamba kuondoka. Tutawaondoa.
  18. TUNTEMEKE
   TUNTEMEKE
   Hi zitto, umeiona hii issue ya kigosi ilivyokaa
  19. Arafat
   Arafat
   Pole sana na Ugonjwa wa Mama tunamuombe
  20. Kasimba G
   Kasimba G
   Hi Mhs! Nimejaribu kukutafuta kwenye fc bk nimekukosa inaonyesha imejaa, i've managed to find your thread here, I can see you have a vission, you discuss isses, thats big up! Hopefully we will get along! Cheers!

   Eng. G
 • Signature

  "Ukweli haupendi kupuuzwa puuzwa" - TUJISAHIHISHE, Nyerere 1962.
Loading...