Watanganyika! Mkutano wa katiba pakuanzia hapa; | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanganyika! Mkutano wa katiba pakuanzia hapa;

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by mgen, Dec 18, 2010.

 1. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #1
  Dec 18, 2010
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,182
  Likes Received: 1,905
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu nimeona na haya maono tusiyapuuze! Ila tuyafanyie kazi sivyo tutavuna tutakacho kipanda sasa WAPO WAZALENDO WALIOTUONYESHA NJIA LAKINI VIONGOZI WETU WA WAKATI HUO HAWAKUYAWEKEA MAANANI mawazo yale WAZALENDO HAO NI MAREHEMU JAJI NYALALI JAJI KISANGA.....LICHA YA GHARAMA KUBWA ZA PESA ZILIZOTUMIKA KUKAMILISHA KAZI HIZO KAZI WALIO IFANYA HAIKUTHAMINIWA LEO TUTHAMINI KAZI ZAO NA ZIWE DIRA KWA KUTEKELEZA YALIYOMO KWENYE RIPOTI ZAO hapo ndipo tuanzie mchakato wa mkutano wa KATIBA! mnaonaje WATANGANYIKA?
   
Loading...