PENSION FUNDS: Tuleteeni umeme haraka

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Hivi kweli tunatimiza miaka 50 tangu tupate uhuru hatuna umeme. hii ni aibu kubwa kwa taifa.

Nijuavyo Tanzania inaruhusu haya mambo ya Independent Power Production ndio maana tulikuwa na jamaa wa Songas na IPTL (mjadala ukienda vizuri bila bas nitakuwa na nafasi ya kuweka bayana viwango ambavyo walikuwa wanawatoza TANESCO)

At the end of the day sioni sababu kwa nini Pension funds zetu zisi diversify na kuingia kwenye power production ambako naamini kutakuwa na maximum return of Investment badala ya kukaa na pesa tuu benki.

Sijui wataruhusiwa kufanya individually lakini as far as I know its possible na kazi ya distribution wawaachie TANESCO.

I'm willing to have an informed debate on this subject lakini si vibaya kusikiliza maoni ya wengine pia.
 
Back
Top Bottom