Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 207
Jaman mi nimeckia wa2 wanasema eti leo kuna newspaper imeandika hvyo lakn mm cjaliona! kama kuna aliyeliona anijuze
kashinda jimbo lipi? Inawezekana ikawa karatu.Jaman mi nimeckia wa2 wanasema eti leo kuna newspaper imeandika hvyo lakn mm cjaliona! kama kuna aliyeliona anijuze
kashinda jimbo lipi? Inawezekana ikawa karatu.
Labda mafisa wameya nunua maana ndiyo tabia zao lakini hata hapa jamvini hiyo habri imewekwa pekua pekua tu...halipatikani mitaani yaani by saa nne leo mwenge na chuo pale mlimani halikuwa linapatikana
inamaana hii habari ilikuwa ya uongo maana hata hapa JF siioni sijui wameichomoa au ushamba wangu wa kusearch...Mark my words. Tanzania Daima litafungiwa.
Mimi ninayo lakini ndiyo natoka ofisi nikipata muda home nitaiweka ingawa ilikuwa imewekwa hapa....Wadau naomba mwenye habari hiyo iliyotoka kwenye Tanzania Daima atuletee hapa jukwaani maana nimelitafuta sana hilo gazeti leo halikupatiana kabisaaaa!!
Itakuwa vizuri mwenye habari kamili akatujuza hapa jukwaani kwetu.
Naomba kuwasilisha.