Magamba halisi ya ccm haya hapa

kamanzi

Senior Member
Oct 28, 2007
100
23
Nikiwa nimefunzwa na kufuzu shule ya msingi na kukubuhu hasa katika maswala ya nahau na methali, napenda kuwakumbusha baadhi. Kwanza wahenga walisema "ukitembea na mwizi na wewe utakuwa mwizi". Wahenga hao hao wakasema "aisifuye mvua ujue imemnyea". Hawakuishia hapo bali walisema marafiki wa pemba wajuana kwa vilemba". Ningeendelea ila kutokana na muda mdogo naomba kuwasilisha mada wazi kuwa JK ni gamba kama gamba jingine lolote. Kwa msioamini hebu muangalieni alivyopendeza katika picha hii hapo chini akiwa na kipenzi gamba lenzake wakati wa kampeni. Angalia iyo attachment chini. Magamba pacha yanafanana kila kitu halafu mengine yanajifanya kubadilika yakifikili tumesahau magamba magamba yao ndani ya nusu mwaka tu.

View attachment MAGAMBA.doc
 
CCM oyeeeeeeeeeeeeee, kobe ukimvua gamba anakufa.
Nafurahia kifo cha CCM
 
Back
Top Bottom