Ufisadi wa Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi

Kiranja

JF-Expert Member
May 19, 2007
751
336
Huu ni ufisadi pia: Baada ya kuteuliwa kuwa Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Iddi, ameendelea kuwa Mbunge wa Jimbo la Kitope, Zanzibar na sasa amekua akitumia gharama za serikali kwenda na kurudi Zanzibar wakati wa vikao vya Bunge na hakai hata katika sehemu ya mawaziri na wakati mwingine haingii hata bungeni maana ni Makamu wa Rais.

Safari zake kwa siku na mara nyingine anakwenda na kurudi Zanzibar_Dar-Dodoma panapokua na vikao na anakua na msafara wenye timu ya wasaidizi, walinzi na familia na kwa mara moja ndege hukodiwa $18000 to DOM per Trip!!!

Anachotakiwa kufanya sasa ni kujiuzulu nafasi yake haraka ili kupunguza gharama za kodi zetu kwa safari za Dodoma.
 
Wananchi mkomalieni aachie kofia moja muda wa kuwaachia hawa viwavi wakombe kila kitu umekwisha usilalamike hapa jamvini anzisha harakati za uamusho wananchi walijue hilo na kulipinga kwa nguvu zao zote
 
Uko sahihi Froida
 
Jamaa afya Mgogolo ila anawake wawili na wote wana hadhi ya U-first lady...gharama juu ya gharama!
 
Huu ni ufisadi pia: Baada ya kuteuliwa kuwa Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Iddi, ameendelea kuwa Mbunge wa Jimbo la Kitope, Zanzibar na sasa amekua akitumia gharama za serikali kwenda na kurudi Zanzibar wakati wa vikao vya Bunge na hakai hata katika sehemu ya mawaziri na wakati mwingine haingii hata bungeni maana ni Makamu wa Rais.

Safari zake kwa siku na mara nyingine anakwenda na kurudi Zanzibar_Dar-Dodoma panapokua na vikao na anakua na msafara wenye timu ya wasaidizi, walinzi na familia na kwa mara moja ndege hukodiwa $18000 to DOM per Trip!!!

Anachotakiwa kufanya sasa ni kujiuzulu nafasi yake haraka ili kupunguza gharama za kodi zetu kwa safari za Dodoma.

Shamsa Vuai Nahodha, waziri wa mambo ya ndani ni Mbunge wa Jamhuri (kateuliwa na Rais Kikwete) na kule Zanzibar bado ni Mwakilishi katika baraza la mapinduzi. Ni kwamba Tanzania tuna shida ya watu wenye sifa za uongozi ama?
 
Hilo nalo linajadilika na mengi mengine, ni mjadala mzuri wa mabadiliko ya katiba
 
Tutaondoana 2015 ,apo ndio mtajua au watajua kama samaki si mnyama wala si ndege :A S 39:
 
Huu ni ufisadi pia: Baada ya kuteuliwa kuwa Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Iddi, ameendelea kuwa Mbunge wa Jimbo la Kitope, Zanzibar na sasa amekua akitumia gharama za serikali kwenda na kurudi Zanzibar wakati wa vikao vya Bunge na hakai hata katika sehemu ya mawaziri na wakati mwingine haingii hata bungeni maana ni Makamu wa Rais.

Safari zake kwa siku na mara nyingine anakwenda na kurudi Zanzibar_Dar-Dodoma panapokua na vikao na anakua na msafara wenye timu ya wasaidizi, walinzi na familia na kwa mara moja ndege hukodiwa $18000 to DOM per Trip!!!

Anachotakiwa kufanya sasa ni kujiuzulu nafasi yake haraka ili kupunguza gharama za kodi zetu kwa safari za Dodoma.
CCM wanajua hayo unayozungumza? Kama wanajua kuwa ni gharama kwa nini viongozi wengi kupitia CCM wana kofia zaidi ya moja na wanapotekeleza majukumu yao hutumia pesa za umma pasipo utaratibu ulio bayana?
 
Mwisho wa siku eti wanataka kuvunja Muungano! Pinda aliwaambia WAJARIBU waone! Naomba kuuliza hivi Jumbe kuishi kule Mji Mwema kilikuwa kifungo cha nje au aliamua mwenyewe?

Ina maana hata mimi wa Ng'wabagalu (Shinyanga) namlipia kwenda huko Kitope Zanzibar?
 
Huu ni ufisadi pia: Baada ya kuteuliwa kuwa Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar,Balozi Seif Iddi, ameendelea kuwa Mbunge wa Jimbo la Kitope, Zanzibar na sasa amekua akitumia gharama za serikali kwenda na kurudi Zanzibar wakati wa vikao vya Bunge na hakai hata katika sehemu ya mawaziri na wakati mwingine haingii hata bungeni maana ni Makamu wa Rais.

Safari zake kwa siku na mara nyingine anakwenda na kurudi Zanzibar_Dar-Dodoma panapokua na vikao na anakua na msafara wenye timu ya wasaidizi, walinzi na familia na kwa mara moja ndege hukodiwa $18000 to DOM per Trip!!!

Anachotakiwa kufanya sasa ni kujiuzulu nafasi yake haraka ili kupunguza gharama za kodi zetu kwa safari za Dodoma.

Hakuna ufisadi wowote hapo, kwa hadhi yake ana stahili !
 
Shamsa Vuai Nahodha, waziri wa mambo ya ndani ni Mbunge wa Jamhuri (kateuliwa na Rais Kikwete) na kule Zanzibar bado ni Mwakilishi katika baraza la mapinduzi. Ni kwamba Tanzania tuna shida ya watu wenye sifa za uongozi ama?

Inawezekana ukiwa mbunge Zanzibar hadhi yako ni kama diwani ukija bara, unless wangekuwa na akili timamu haiwezekani mtu akawa na hadhi mbili za Ubunge
 
JAMANI Hiki cheo ni kama waziri kiongozi kwa zamani. Lazima uwe mbunge pia... Unafikiri ni nani msimamizi mkuu wa kazi za serikali kwenye baraza la wawakilishi.

Mimi sio mzanzibar lakini hiyo ndio style waliyoipigia kura wenyewe
 
Back
Top Bottom