Mkoa mpya wa Simiyu makao makuu yake ni wapi au yatakuwa wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkoa mpya wa Simiyu makao makuu yake ni wapi au yatakuwa wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kaseko, Apr 29, 2011.

 1. K

  Kaseko Senior Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna mijadala inayoendelea juu ya suala hilo na wananchi wa maeneo husika wamekuwa hawajui juu ya hatma ya suala hilo, kuna wengine wanasema itakuwa Bariadi wengine makao makuu ya mkoa huo yapo Maswa kwa Shibuda jaman wana jf naomba tujuzane juu ya suala hili basi.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,134
  Likes Received: 836
  Trophy Points: 280
  Maswa ndiyo iliyo izaaa Bariadi hivyo wengi walikuwa wanapendekeza makao makuu ya Maswa lakini kwa siku za karibuni Bariadi imekuwa na maendeleo kwa kasi kuliko Maswa...hivyo wengi wanapendekeza makao makuu yawe Bariadi...
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 7,963
  Likes Received: 5,176
  Trophy Points: 280
  Yatakuwa Bariadi Confirmed.
   
 4. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,847
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Ili kumokomesha Chenge, makao makuu yatakuwa Maswa!
   
Loading...