Don't Miss: MJADALA WA AZIMIO LA ARUSHA NA NAFASI YAKE KWENYE MJADALA WA KATIBA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Don't Miss: MJADALA WA AZIMIO LA ARUSHA NA NAFASI YAKE KWENYE MJADALA WA KATIBA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Waberoya, Apr 29, 2011.

 1. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Event: Tafakuri ya kina ya Azimio la Arusha na nafasi yake kwenye mjadala wa Katiba
  Date: 30/04/2011
  Place: Nkrumah Hall a.k.a Nkrumah all
  Main Speaker: Prof Shivji
  Time: From 9: 30 AM to 2 PM

  Prepared by Savita Club & Philosophy Club

  Sorry for short notice

  Eng. R. A. Bukuku
   
 2. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  thanks comrade kwa info
   
 3. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Safi sana,thanks kwa kutujuza.
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  SOurce Pleasezzz???????
   
 5. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  .. huoni hapo, ... ni Eng. R .A Bukuku
   
 6. m

  matawi JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Msisahau kujadili jinsi ya kummalizia nyoka aliyejivua gamba maana bado tuna hatari ya kuumwa maana sumu ni ileile
   
 7. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Azimio la arusha ni Mwiba kwa Fisadi yeyyote ...

  ... Lina umuhimu wake ... na ni vema lirudi na misingi ile ile lakini kwa picha ya sasa na ya siku zijazo... lije kama azimio jipya!
   
 8. N

  Nzogupata Member

  #8
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongereni kwa maono hayo. tatizo nilipatalo mie hivi hawa viongozi wetu wna masikio gani ama ngozi zao zikoje kwan mambo mengi yamesemwa lakini hadi sasa wanang'ang'aniza rais ateue tume? Napata shaka mambo mengi mazuri mtasema hapo kesho lakini tafsiri ya sasa ukisema kisicho moyoni mwa wasiopenda maendeleo wankusema uko chama cha upinzani. Tusikate tamaa ipo siku mungu atawaumbua nakuanza kutekeleza yaliyo ya maendeleo ya jamii zaidi kuliko mifuko na matumbo yao
   
 9. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Labda secretariet ya CCM itapata pa kuanzia kazi. Maana kwa sasa ni arijojo.:noidea:
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kijana............

  usipaniki..............

  ni azimio la arusha; siyo azimio la zanzibar.
   
 11. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  raisi hauna iq Ya kutosha,pole yako jei key
   
 12. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #12
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,248
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Kuwa makini kila ukisomacho! Nina wasiwasi na hiyo ID
   
Loading...