Chondechonde Lipumba, okoa jahazi CUF . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chondechonde Lipumba, okoa jahazi CUF .

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by the mkerewe, Apr 28, 2011.

 1. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawasalim wana JF

  Naomba tuweke kando ushabiki wa vyama tusaidiane kwenye hili la CUF:

  Mwenyekiti LIPUMBA kwa sasa achana na mbio za uraisi andaa sura mpya kwa uhai wa chama.

  LIPUMBA msomi mzuri asiye na matumizi kwa sasa (Umma haufaidi elimu yake) tunaomba ugombee ubunge Tabora au hapa DSM (4 sure Temeke utapita) ili tukufaidi ukiwa bungeni.(Primary school students hawaijui CUF)

  Mwenyekiti!Kitendo cha CUF kutoonesha makali dhidi ya CCM kutakiadhiri sana chama wakati CDM wakinufaika na hali hii kwa hiyo hili ulitizame upya.
   
 2. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ushauri mzuri lakini sijui kama utaeleweka.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Profesa sikiliza sauti hizi hapa. Kijana Julius Mtatiro ni jembe hapo kwako ila anakua underused.
   
 4. J

  Joblube JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pigia mbuzi muziki kama atakuelewa na ubinafsi auachewapi?
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Lipumba take this please
   
 6. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Wakati umefika aende kwenye baraza la ushauri la CUF (kama wanalo) awaachie wengine walete changamoto mpya..
   
 7. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja. kwa kuongezea SLAA naye aachane na mbio za urais kwani ni highly divisive figure ataigawa Tanzania kama akishinda (God forbid--will never happen!)
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kwani CUF bado kipo .... si walishaungana na CCM
   
 9. F

  Froida JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Duh kaingia huyo hapo watu wengine beef tuu hata kwa yasioyohusu
   
 10. m

  mao tse tung Member

  #10
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa sisi CUF viongozi tunafaidika pia ni kosa lajinai kukipinga chama tawala.sasa lengo letu ni kuiuwa cdm endelea kutuamini tumefunga ndoa na ccm tuondoe hichi chama cha makafiri
   
 11. T

  Topical JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  CUF wako makini hawahitaji ushauri wako, wanajua wanachokifanya..
   
 12. m

  matawi JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Tena afadhali wawe makafiri wa kabila ingine hawa wa kichaga?? eehuuuuuuu
   
 13. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Duh!,hii sasa ni hatari yaani watu wazima mnakuwa na mawazo Kama haya(chadema/wachaga-ni makafiri!!!?)
   
 14. k

  kimandolo Member

  #14
  Apr 29, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF ni taasisi ya ccm, lipumba hawezi kufurukuta wao wataishia kukisindikiza cdm ikulu kwa mapambio yao ya kijinga yanayongozwa na mh. wa wete akiwa na usaidizi mzuri wa prf. mwnywe.
   
 15. Ellyson

  Ellyson JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 1,717
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Pole ndugu yangu. Naona unatumia mavi badala ya akili kufikiri jambo.
   
 16. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  The best lipumba can do for CUF and Tanzania is permanently retire from official politics. Hata akiwa mbunge hata leta chochote kipya. Nashauri arudi chuoni kufundisha economics/history/political science.
   
 17. k

  kiloni JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kweli kama wana CUF ni hawa wenye utapiaubongo kama huyu!!!!! hakuna chama hapo!!!!!!!!!!!! Ni genge tu la mijuhuni
   
Loading...