Nani wa kulaumiwa, Mchuzi,TBC,ITV,Star TV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani wa kulaumiwa, Mchuzi,TBC,ITV,Star TV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bulunga, Apr 28, 2011.

 1. b

  bulunga JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Jana ilikuwa ni siku ya majonzi makubwa kwa wana Shinyanga na wana CDM kwa ujamla,kwa kuondokewa na KAMANDA Shelembi ukweli usiopingika itabaki kuwa ni historia ambayo itakuwa ni vigumu kusahaulika, kwa Njinsi Shelembi alivyoagwa na kuzikwa na umati mkubwa ambao haujawahi kutokea katika mji wa Shinyanga, cha ajabu ni kuwa hakuna coverage ya media iliyostahili kwa tukio kama hilo, nimefuatilia kwa umakini kwa siku za karibuni nimegundua kuwa CDM haipewi tena coverage kwa matukio na shughuli zao isipokuwa kama kuna habari ambayo ni negative, inaelekea huu ni mkono mrefu :tape:kutaka kuwapunguzia popularity CDM ulioanzia TBC na kuenea kwenye Mitandao mingine ya Habari,

  jana katika media zote haikuripotiwa isipokua nimeambiwa Chanel 10 pekee ndio iliweka hilo tukio katika taarfa ya habari licha ya kuwa na utitiri wa wandishi wa habari, inasikitisha sana hata hao CDM hawana kitengo cha Habari kwa sasa, nimeangalia hata Mtanzania Daima nako ni nusunusu hakuna picha zenye kubeba historia hii kwa uzito wake,

  Kuna wakati tuliweza hata kupata video clips za matukio yao, mbali mbali angalau kupitia JF lakini sasa imekuwa ni kimya, kuna msemo unanao sema seeing is believing,

  Inasikitisha hata hapa JF hakuna picha hata moja ya mazishi ya Kamanda Shelembi, kuna watu wamelaumu sa vyombo vya habari kuwa mazishi haya hayakuripotiwa, nimeangalia Michuzii mambo ni yaleyale anatanganza kifo cha mtanzania aliye Uingereza ambaye hata jina lake limefutwa, kwa kwa hili simlaumu Michuzi, lawama ziende kwao hao CDM na unongozi mzima, kuna watu ambao leo wanaongelea CDM TV naona hii ni ndoto kama madogo yameshindikana itawezekana makubwa, naomba CDM wajipange kwa hili, maana kilio hiki hakijaanza leo

  RIP Shelembi
   
 2. s

  smz JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 251
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lakini jamani mimi nakumbuka hii ilirushwa ITV taarifa ya saa 5.
   
 3. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  iko siku watagombania kutangaza hizo habari, by then time will not favour them!
   
 4. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  bulunga nakuunga mkono,hata ule mkutano wa dr slaa pale dodoma hakukuwa na coverage kwenye media hasa katika picha,na humu JF hazikuwemo,hata za sherembi czioni,nasubiri nikienda shinyanga ntazipata still picture labda zitanifariji,
   
 5. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CDM mnatakiwa kuongeza nguvu kitengo cha Propaganda, ikibidi nendeni Lumumba mkamchukue Tambwe Hiza atawafaa kwa kuwaunganisha na vyombo vya habari
   
 6. b

  bulunga JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  saa 5 usiku ?????!!!!! nani anangalia TV saa 5 usiku, ni yaleyale, kuwa kuna punguzo bei ukipiga simu saa 6 usiku:A S 39:
   
 7. i

  iwensato Member

  #7
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna umbali mkubwa kutoka Shy hadi Dar kwa ajili ya kuleta habari bila shaka magazeti ya kesho yatakuwa na habari na picha nyingi za tukio hilo
   
 8. b

  bulunga JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  umbali kitu gani katika dunia hii ya .com
   
 9. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kweli umerudi, kwenye mazishi hujauona wewe? Huo umati je!
   
 10. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,535
  Likes Received: 2,116
  Trophy Points: 280
  Clip ya mazishi ya Marehemu Shelembi, kwa hisani ya TANGIBOVU WA YOUTUBE. Inatakiwa wana-CHADEMA tuwe pro-active na siyo re-active ktk masuala ya kuhakikisha habari za CHADEMA zinakuwa ktk JamiiFORUMS kwa kutumia key-boards, camera, simu n.k. maana JF ni zaidi ya vyombo vya habari vya serikali na CCM.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Joyum

  Joyum Senior Member

  #11
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  "Hata mkawanyamazisha hawa mawe yataniimbia" watangaze wasitangaze mbona TZ yote ilijua na kila kona dar, mz ar, shy wanaliongelea!
   
 12. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Chadema wakilaumu kitengo chao cha habari kwa kutokuwa karibu na waandishi wa habari. Hapa bongo pasipo kutoa bahasha habari yako haitoki
   
 13. Dr-of-three-Phd

  Dr-of-three-Phd Senior Member

  #13
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Actally mnapolijadiri ndo mnapojadiri mafaniko yao ya kufanikisha jambo lao la kutofanya caverage matukio ya cdm! so lets not light them but let note that we have knew it already.

  Aluta continue.
   
 14. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0


  Tuache malalalmiko yasiyo na msingi. Kwani ni lazima kila function ya CDM ipate coverage ya TV? Anzisheni TV yenu ambayo mtakuwa mnaichezea mnavyotaka nyie kwa kuripoti kila tukio halafu muone kama haitapoteza mvuto. Much as ningependa msiba huu uwe covered kutokana na umuhimu na profile ya huyu marehemu lakini tukubali ukweli kwamba CDM hawana haki ya kudhani kwamba kila tukio la CDM ni news worth covering or being picked as a news item.
   
 15. N

  Ntambaswala JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mwambopo,
  Ukweli wako ni mchungu kuumeza..............................................
   
 16. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mbopo ni kijiji Kimoja kipo Mbezi Shamba Hicho kijiji Wanachonga sana Vinyago!, Ukiona haikufai sema ukiona inakuuma sema,

  Prakata tumbah!
   
 17. only83

  only83 JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Utukome CDM wewe...Tambwe Hizza si saizi ya CDM kabisa...haendelee huko huko kwa waropokaji wenzake.Maana halisi ya propaganda katika siasa si uwezo wa kuropoka bali uwezo wa kujenga hoja na kutetea hitikadi na mawazo ya chama kazi ambayo Hizza hataweza...
   
 18. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #18
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kwani hii habari haijawekwa kwenye website ya chadema? Mbona lawama zingine hazina msingi.

  Yaani unanunua ndizi kwa kutegemea kula pilau kwa jilani.
   
 19. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tafaadhali CDM msifikirie kutoa bahasha hata siku moja. Ila fanyeni hima kuanzisha vyombo vyenu vya habari kupanga ni kuchagua.
   
 20. b

  bulunga JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ni lini CDM walipata coverage TBC kwa mara ya mwisho
   
Loading...