Watanzania na Vita dhidi ya Ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania na Vita dhidi ya Ufisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matunge, Apr 29, 2011.

 1. m

  matunge JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Siku itafika ambapo UKWELI atashinda! UKWELI huyu ana NGUVU kwani ni MUNGU na ni sauti ya MASIKINI wa Tanzania.Hakuna Fisadi yeyote atakayesimama! Sasa wamefumbwa macho wasione..na masikio wasisikie...ili waje waaibike hakutakuwa na wa kuwaokoa...
   
 2. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  unawazungumzia mafisadi wa kweli au walewale wa kingiziwa kina Lowassa?
  Kwa nini tusiwataje mafisadi wa kweli na wameachiwa watubabaishe akili zetu kwa hoja za kuibiwa Zanzibar kwa Tanzania Bara, namaanisha hawa mafisadi wanaochochea fujo za Muungano ka ABEID KARUME ambaye kati ya maovu ni kupora kwa nguvu mali za watu kama nyumba, viwanja, beach plots, makaburi ya wakristo na kujenga hoteli, kuvunja kijiji cha wabara cha Kibanda Ugali kazkazini Unguja na mengine mengi. MANSOUR HIMID huyu ana chuki ya hatari dhidi ya Tanganyika, lakini Zanzibar inamwogopa kwa sababu ya udugu na Karume, lakini waziri huyu wa darasa la 4 ameiba vibaya wazara ya Ardhi, bila pesa hamna hati, na ukilegea ardhi anaichukua, HAMID MAHMOUD HAMID Jaji Mkuu wa Zanzibar anaeondoka, Mchochezi Mkubwa dhidi ya Muungano, yeye na wanawe wanaitawala Mahkama ya Zanzibar na wanaamua juu ya kesi zote, swala ni je umewalipa? hamna pesa hamna haki.
  List ya Mafisadi ni Kubwa Zanzibar lakini wanazungumziwa hawa wa kutuhumia tu hapa Dar, kwa nini?
   
Loading...