Hili swala la kijivua gamba naona kama ni mchezo wa kitoto, hii inatokana na ukweli kuwa ccm ina idadi ya viongozi wengi ambao wamekuwa kero na kikwazo kwa maendeleo ya chama hata nchi kwa ujumla...
Utetezi wa kwanza: Tanzania kama wazo
M. M. Mwanakijiji
Mola nakuabudia
Sifa nakurudishia
U peke nakuinamia
Jinalo natukuzia
Kalamu naishikia
Wazo naliandikia
Linahusu Tanzania
Mama...
Katika harakati za kujikwamua na maisha aliyekuwa mbunge wa Nkenge Nazir Mustafa Karamagi(CCM) na Salim Mohammed Salim wameamua kuanzisha kampuni ya mawasilino kuwa mshindani wa...
Awila Silla, Singida
NAIBU Waziri wa Ujenzi, Dk Harrison Mwakiembe, amewataka wakandarasi wanaotengeneza barabara za lami, kuacha mara moja, tabia ya kugeuza kodi za Watanzania kuwa ni...
Exuper Kachenje
MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Januari Makamba amesema kamati yake italihoji Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco), kuhusu upotevu wa mabilioni ya...
Kila mtu sasa anashangilia kuwa CCM inajisafisha kwa kuwatema watuhumiwa wote wa ufisadi, miezi michache iliyopita tuliambiwa kuwa CCM ni chama kinachofuata utawala wa sheria kwamba kisingewaacha...
Wandugu,
Jamani wadau mliopo huko Shinyanga Mjini mtuhabarishe na ikiwezekana hata ku-post picha za mazishi ya Kamanda Shelembi aliyepokwa ushindi wa Ubunge wa Jombo la Shinyanga Mjini. Kuna...
Katiba Mpya: Tunachotaka sasa
Na Mabere Marando - Imechapwa 20 April 2011
(Source - Mwanahalisi)
KUNA madai kwamba kinachohitajika sasa ni kuwaelimisha wananchi juu ya katiba iliyopo kabla...
DIWANI wa kata ya Mgama, wilayani Iringa Vijijini, Denis Lupala (CCM), yuko matatani baada ya kumwita Naibu Katibu Mkuu CCM, Tanzania Bara, Kapteni John Chiligati, kuwa ni fisadi na anapaswa...
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa anatarajiwa kutinga mahakamani Kisutu, katika kesi inayomkabili Prof Mahalu juu ya manunuzi wa nyumba akiwa balozi nchini Italia. Rais Mkapa atatua Kisutu kutoa...
Na Mabere Marando
KUNA madai kwamba kinachohitajika sasa ni kuwaelimisha wananchi juu ya katiba iliyopo kabla ya kuandika katika mpya. Nina maoni tofauti.
Suala la leo si kujua katiba yetu ya...
Nape unadai Kikwete na familia yake wanachafuliwa kwa kuhusishwa na hao watu kwani nyoka anajivua magamba. Kijana hizi picha zinadanganya ? Kumbuka Wapemba hutambuana kwa vilemba na ndege wa...
Katika siku ya wafanyakazi May 1995, rais mstaafu na mwenyekiti mstaafu wa CCM Mwl. Julius K. Nyerere ndiyo alikuwa mgeni rasmi. Alitoa hotuba ndefu kidogo iliyo jaa maono na muongozo.
Lakini...
kuna mkufunzi wetu mmoja hapa chuoni kwetu udom ametueleza leo muungano ulikuwa tarehe 22 april ndio siku waliosaini makubaliano tarehe 26 ni siku ilikuwa ya sherehe ya muungano pia kuna mzee...
Itashangaza CHADEMA kikipoteza nafasi hii adimu!
Lula wa Ndali-Mwananzela
Aprili 20, 2011
CCM imeanza kuteka hoja zao, moja baada ya nyingine
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
SOURCE : Nape: Wapinzani wachukue watuhumiwa ufisadi CCM
Ramadhan Semtawa
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, amesema chama hicho hakitishwi na uwezekano wa vyama vya upinzani...
Wana JF,
Mimi naomba mnisaidie kuelewa juu ya siasa zinazoelezwa na CCM hasa kila wanapokuwa katika mikutano yao iwe mijini au vijiji
Kuhusu Amani Tanzania:
Kila wanapokuwa katika majukwaa...
Nimejaribu kutafuta maana na tafsiri sahii ya usemi "kujivua gamba" . Neno gamba kwa maana pana ni kama nyumba au kitu mfano wa container lkinachotumika kuhifadhia kitu/vitu fulani; kwa msingi...
Heri ya pasaka wakubwa.
kukaa kwangu kote sijasikia habari kuhusu kila kambi ya upinzani ya kila nchi miongoni mwa nchi za afrika mashariki zikijadili kuhusu kupeleka wabunge watakao wakirisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.