Amekaririwa na ITV kwenye taarifa ya saa tano na robo usiku huu
Jina lake kamili ni Thomas Ngawaiya, aliwahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini kwa tiketi ya TLP, baada ya kukorofishana na Mrema...
Wana JF
Kuna swala moja limekuwa likinikanganya sana katika ufuatiliaji wangu wa habari za Kampuni ya Richmond Development na Dowans.Swala lenyewe ni Kuwa Richmond Development ni kampuni ya...
Ni kweli imetokea ingawa ni kama utani, juzi vyombo mbalimbali vya habari vilitangaza kwa mbwembwe kwamba chama cha UPDP kitafanya mkutano wake wa hadhara jana katika viwanja vya Bakhresa Manzese...
Akitoa taarifa kwa vyomba ivya habari ili ifike kwa wananchi na hali ikiwa ilele ya kutumia vyanzo vya umeme TANESCO waendelea na mgao toka saa kumi na moja jioni mpaka sasa hakuna je ni kuishi...
Badala ya kujivua gamba kumbe mwenyekiti alikuwa anaandaa mbinu ya kutafuta mrithi wake ambaye anatakuwa wa type yake.
Pamoja na kubadili safu ya uongozi mjini Dodoma, CCM pia ilitangaza kwamba...
Licha ya kupewa ushauri wa maana hapa jf, nape kaendeleza post zake zisizojitosheleza, baada ya majuzi kupost "chuo kik8 cha dodoma", leo kaandika "mchango wa vitambulisho vya taifa/utaifa katika...
Wana JF kuna jambo hapa laweza kuwa kudhihirisha kwishiwa kwa serikali au muendelezo wa ufisadi nchini na kwa ccm kiujumla. nimetonywa kuwa ile siku ya kemia duniani iliyoadhimishwa pale...
Hivi hii kesi imefikia wapi? Maana upande wa pili ukishindwa kufika mahakamani kwa ahadi zao wanashambuliwa kweli. Hii kesi imefika wapi? Watanganyika bwana.
Kesi ya Prof. Mahalu – Zengwe jipya jikoni
Kuna habari kwamba upo uwezekano mkubwa upande wa mashitaka ukaumbuka kisawasawa kutokana na affidavit ya His Excellency BWM, our ex President...
Mimi ningemshauri Raisi Kikwete badala ya kulalamika atubu mabaya kwa Watanzania na atoe ahadi na kufanya jitihada za kubadilika. Kikwete hagombei tena urahisi huu ni wakati wa kufanya kazi bila...
Mara nyingi tumekuwa tukisikia serikali na tasisi zake, kadhalika hata watu binafsi kuahidi kufanyia kazi mambo mbalimbali.Hii hupelekea ama kusitisha mjadala au kuongeza kiu ya wananchi na...
Nape tunashukuru sana kwa kuja hapa JF, tunajua una kazi nyingi ila mtindo wako wa kuweka bandiko hapa na kukimbia sio fresh, hapa JF ukiweka bandiko lazima ulitetee, sio lazima ujibizane au ujibu...
Miaka sita, saba kasoro
Mimi nauliza swali utakomaa lini? Nchi yetu inazidi kurudi nyuma
Ulipomaliza miaka yako mitano ulisema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singidan Selestine Yunde akifungua kikao cha baraza la madiwani. Kulia ni Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Illuminata Mwenda na kushoto ni Makamu Mwenyekiti...
Kuna tetesi zimezagaa kwamba JK amemteua bwana Abdala Mtonga kuwa internal auditor general.
Kama ni kweli nadhani uteuzi wake utakuwa mzuri maana jamaa alikuwa afisa masuhuri wa ofisi ya CAG...
Katika gazeti la Tanzania Daima, kuna habari inamhusu Jenister Mhagama ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge huduma za jamii. Huyu mama kama mwenyekiti, alikuwa anajaribu kuizuia kamati yake...
Idd Azzan aomba radhi CCM
MBUNGE wa Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, Idd Azzan, ameomba radhi mbele ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam, kwa kitendo cha kukiuka maadili ya...
*NI laana, ni bahati mbaya, ni Ujinga, ni umaskini wa fikra, ni kupumbazwa au ni kitu gani hiki kinachosababisha tusherehekee miaka 50 ya Uhuru wetu bila ya kuwa na vitu vya uhakika?
Hatuna...
Katika kutapatapa kwa na kwa kufanya mambo ambayo hawajajiandaa na hawajui wafanyeje CCM na JK wamejikuta wanafanya dhambi hizi , na ambazo hazitawaacha salama:
1. Kufuta azimio la Arusha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.