Nani tumwajibishe katika hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani tumwajibishe katika hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nzom, May 28, 2011.

 1. n

  nzom Senior Member

  #1
  May 28, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Akitoa taarifa kwa vyomba ivya habari ili ifike kwa wananchi na hali ikiwa ilele ya kutumia vyanzo vya umeme TANESCO waendelea na mgao toka saa kumi na moja jioni mpaka sasa hakuna je ni kuishi kwa mazoea ama kwani siku hizi umeme ukikaa siku nzima twashangaa ila ukirudi wajua wakatika na baada ya hapo tumezoea au ni mgomo tunalipa nini katika bila zao kuna kodi ywalipa kuna EWURA kua wanatutetea na kuna mchango wa umeme vijijini haya tutafika ama
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Uko Tanzania? Usiumize kichwa, hayo ndiyo malipo ya kuchagua kama vipofu. nadhan Tunastahili kupata mateso hayo. ha ha ha ha haaaa....!!!!
   
Loading...