Rais amchagua Abdala Mtonga kuwa Internal Auditor General | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais amchagua Abdala Mtonga kuwa Internal Auditor General

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Madcheda, May 5, 2011.

 1. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kuna tetesi zimezagaa kwamba JK amemteua bwana Abdala Mtonga kuwa internal auditor general.

  Kama ni kweli nadhani uteuzi wake utakuwa mzuri maana jamaa alikuwa afisa masuhuri wa ofisi ya CAG na pia alikua mkaguzi wa kanda hapo hapo. Ni mtu safi asiyetaka ujinga ujinga kwenye utendaji wa kazi. Tatizo lake ni muoga kufanya maamuzi. Labda anaweza kuleta utofauti kwenye hii ofisi mpya iliyounda

  ============

  Si tetesi tena, ni habari kamili...

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemeteua Bw. Mohammed A. Mtonga (52) kuwa Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali (Internal Auditor General).

  Bw. Mtonga ni msomi mwenye Shahada ya Uzamili katika masuala ya Fedha (MSc in Corporate Finance) toka Chuo Kikuu cha Salford nchini uingereza.

  Aidha Bw. Mtonga anayo Shahada ya Uhasibu ya CPA (T) inayotolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) na Stashada ya Juu ya Uhasibu (Advanced Diploma in Professional Accountancy) toka Chuo cha Jamii Nyegezi ambacho kwa sasa ni Chuo Kikuu cha Mt. Augustine cha Mwanza.

  Kabla ya uteuzi huu, Bw. Mtonga amekuwa na utumishi wa miaka 32 katika Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Heasabu ambapo amewahi kushika nyadhifa mbalimbali.

  Nyadhifa alizowahi kushika Bw. Mtonga ni pamoja na Afisa Masuuli na Mkaguzi wa Hesabu wa Kanda. Pia amewahi kuwa Mkaguzi wa Hesabu Mkazi katika mkoa wa Lindi, Wizara ya Nishati na Madini, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Makao Makuu ya Jeshi (Ngome).

  Uteuzi huu umeanza toka tarehe 06 Aprili, 2011.
   
 2. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  I am confused...Unasema JK kafanya uamuzi sahihi kumchagua Abdallah maana jamaa ni mtu safi na hataki upuuzi lakini at the same time unasema ni mwoga kufanya maamuzi!!!!!!

  Leadership is about making decision na mtu mwoga kufanya maamuzi hafai kuwa kiongozi.

  Kama ni kweli Abdallah ni mwoga kufanya maamuzi basi ofisi hii haimfai hata kidogo hata kama angekuwa mwadilifu kama malaika maana kuna wakati itabidi afanye maamuzi mazito na hatayafanya maana ni mwoga. Watu waoga wa kufanya maamuzi huwa wanatakiwa wawe chini ya mtu fulani ili wao wawe wanapokea orders tu na kuzifanyia kazi ili likitokea tatizo aseme boss ndo aliniambia nifanye
   
 3. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Najibu kama kwenye dodoso: Nakubaliana kabisa!
   
 4. G

  Gamba Jipya JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwislam Safi, ulamaa aneyejua kazi yake na misingi ya uislam, hongera JK kwa uteuzi huu.
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Napita tu, sioni la kuchangia hapa.
   
 6. t

  tufikiri Senior Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 156
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na bado, mtakonda sana.
   
 7. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mh!!,ndugu zetu wataula sana admistration hii!,sina zaidi la kusema!
   
 8. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kaka as u kno kila mtu ana mazuri na mapungufu yake,nimesema mazuri yake na mapungufu yake..... bt all in all si mtu mbaya
   
 9. n

  namboyo Member

  #9
  May 5, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ngoja tumpe siku kumi afanye mema au mabaya
   
 10. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ondoa dini yake, hii ndio chanzo cha ubaguzi kati ya ndugu zetu waafrika, hizi zote za kuletwa ni chanzo cha kutugawa, Mungu yupo tu, unaweza bila agent hawa washenzi wanaotugombanisha
   
 11. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo anaenda kukagua vitabu vya hesabu za misikiti au bakwata?
   
 12. B

  Bumela Senior Member

  #12
  May 5, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hii naikubali imetulia mno!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 13. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,643
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  i hope he is the best there is for that position...
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa!
   
 15. M

  Maga JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Tumpe muda afanye kazi ili tuje kumhukumu kwa utendaji wake na sio dini yake
   
 16. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Tulieni tupate uhakika, tetesi ni umbea!
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  May 5, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ni uhakika kwamba Ustaadh, Alhaji Abdallah Mtonga ndiye Internal Auditor General. Mimi namfahamu kama mtu mwadilifu na mchapakazi na anaijua kazi yake ya auditing. Anaenda kuanzisha ofisi mpya kwa maana hiyo atakuwa na changamoto nyingi wakati huu wa ufisadi katika ofisi za serikali kuanzi serikali kuu hadi serikali za mitaa.
   
 18. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hiyo ni nzuri kwake siku za mwisho, lakini sio Uongozi, maana Umesema ni muoga na hao ndio kikwete anapenda ili hela yetu ichotwe vizuri yeye akiangalia na uoga wake.
  ngoja nikwambi sifa kuu ya mtu kama huyo ni mnafiki
  na hatufai
  ndio maana wewe unasema ni mtu safi, sisi waswahili tunasema ni mtu wa watu.
  na taifa alijengwi na viongozi kama yeye, uongozi ni vita mkuu
  weupe wanasema
  A FRIEND IN POWER IS A FRIEND IN LOSS
  KAMA YEYE ANAJIPENDEKEZA KWA KILA MTU BASI HATA KWA MAFISADI ATAJIPENDEKEZA TU.

   
 19. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2011
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hehehe... Divide and Rule ....Nuff Said.
   
 20. n

  niweze JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Who's give power to kikwete to put people any where he want? Constitution Constitution Constitution is only way to stop this joke. These people keep changing offices and screw everything they go and cover their trails, as far as I know why not nominate Ridhiwan to be Minister of Treasure? Thats what kikwete real want...
   
Loading...