Elections 2010 JAKAYA KIKWETE: utakomaa lini?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Miaka sita, saba kasoro

Mimi nauliza swali utakomaa lini? Nchi yetu inazidi kurudi nyuma

Ulipomaliza miaka yako mitano ulisema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?
 
Miaka sita, saba kasoro

Mimi nauliza swali utakomaa lini? nchi yetu inazidi kurudi nyuma

Ulipomaliza miaka yako mitano uliema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?

tatizo la kufakamia vitu. aliufakamia urais akidhani ni mchiriku wa kwao bagamoyo. hana pa kushika mzee wa watu. anaendesha nchi kwa mtindo wa 'piga risasi'.
 
Hivi ukipewa nafasi ya kukutana naye unaweza kumwuliza swali kama hilo? Kumbuka kuwa unayemwita jina kavu hivyo ni Rais wako. Baba yako atabaki kuwa baba yako tu, hata kama humpendi.
 
Hivi ukipewa nafasi ya kukutana naye unaweza kumwuliza swali kama hilo? Kumbuka kuwa unayemwita jina kavu hivyo ni Rais wako. Baba yako atabaki kuwa baba yako tu, hata kama humpendi.

mimi nikikutana naye ntamtemea mate au ntampiga na kiatu maana ni adui yangu namba moja
 
Miaka sita, saba kasoro

Mimi nauliza swali utakomaa lini? nchi yetu inazidi kurudi nyuma

Ulipomaliza miaka yako mitano uliema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?

Mkuu ushawahi kujiuliza hili swali wewe mwenyewe... ! inataka mtu aliyemakini kujuwa chama cha mapinduzi kimekomaa kisiasa
 
kp+may25.jpg
 
Miaka sita, saba kasoro

Mimi nauliza swali utakomaa lini? nchi yetu inazidi kurudi nyuma

Ulipomaliza miaka yako mitano uliema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?
Bado anajifunza,si alisema alikuwa anajifunza uraisi katika miaka 5 iliyopita ,inabidi afikishe miaka 10 ndio ahitimu uraisi
 
na zile semina elekezi ambazo huwa anaongza kwa Mawaziri, makatibu wakuu wa wizara, wakuu wa mikoa na wilaya ina maana huwa anaenda kuwaambukiza ujinga zaidi???
 
Sijawahi kuona uongozi usio na nidhamu kama wa Kikwete, viongozi waliopo nadhani ni viwete wa mawazo kama boss wao alivyo. Eti Jerry Slaa anamkoromea Magufuli na watu wanashangilia...strange. Badala ya kupiga risasi wezi kama Lowassa na Chenge na ********* Rostam wao ndiyo kwanza wanawasifia na kuwapa kazi vibaraka wao akina ....Nimechefuka!!!!!!!!!!!!
 
Miaka sita, saba kasoro

Mimi nauliza swali utakomaa lini? Nchi yetu inazidi kurudi nyuma

Ulipomaliza miaka yako mitano ulisema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?

Amejifunza lakini bado hajaelewa. Hivyo anahitaji muda zaidi wa kuelewa.

Hata shuleni, wengi wa wanafunzi wanakuwa sana na bidii ya kujifunza lakini tatizo kubwa linakuwa ni uwezo wa kuelewa wanachojifunza. Na hii ndiyo maana wengi wanafeli mitihani.
 
Miaka sita, saba kasoro

Mimi nauliza swali utakomaa lini? Nchi yetu inazidi kurudi nyuma

Ulipomaliza miaka yako mitano ulisema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?

Rais wetu bado anajifunza namna nzuri ya kuongoza nchi . labda mwaka 2015 atakuwa amejua nini maana ya kuwa rais wa nchi
 
Back
Top Bottom