CHADEMA na kumshitaki Simba

MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
8,142
3,217
Hivi hii kesi imefikia wapi? Maana upande wa pili ukishindwa kufika mahakamani kwa ahadi zao wanashambuliwa kweli. Hii kesi imefika wapi? Watanganyika bwana.
 
Ile kesi yake yakuwasingizia CHADEMA wanatumika, vipi CHADEMA mlituambia mtamfikisha ktk vyombo vya sheria imekuwa je?
 
baada ya lile beat la CDM na ublozi wa EU, umemsikia tena huyu Khadija Kopa anaongea kitu? Probably kuna maelewano nje ya mahakama yalifanyika. Kama unataka kuhoji hilo, hoji pia je Ubalozi wa EU ulishapewa maelezo kwa maandishi na huyu bi Mapua mweku mweku maana nao walimtaka kufanya hivyo? Huoni kama ule mikwara imemnyamazisha huyu mama? Pia wanaangalia japo ambalo politically ni viable otherwise kwanini wamfanye mama wa watu aka-bleed mahakamani kabla ya siku si zake?
 
Haya mkuu nafikiri sio majibu, kama ni staili hiyo hata Rizone naye atasema hivyo hivyo tangu apige biti wanasiasa hawajapanda jukwaani tena kumuongelea.

Mie naona ni vyema wanasiasa wawe wanawajibishwa kwa maneno yao, kuwaacha tu hivi ndo kunakozaa ahadi hewa kipindi cha uchaguzi.
 
Mawakili wanasubiri ripoti ya Mirembe kujuwa kama yuko insane au vipi. Kumbuka Mzee Tingatinga (CCM) alishauri huyu mama akapimwe huko akili zake

Ili takiwa waseme hivyo toka mwanzo. Kinyume chake unakuta wote wanatenda yaleyale
 
Hivi hii kesi imefikia wapi? Maana upande wa pili ukishindwa kufika mahakamani kwa ahadi zao wanashambuliwa kweli. Hii kesi imefika wapi? Watanganyika bwana.

CDM walikuwa wanatingisha kiberiti wakakuta kimejaa aisee ! mkuu vp bi. mkubwa ameisha jifungua ?
 
Kisheria hutakiwai kusema kila kitu kwa hadhara....inaweza kugeuka kuwa contempt of court of law

Hiyo sheria ina apply kwa chadema tu? maana nimesikia wengine wakihojiwa mbona hawaendi mahakamani.
 
Haya mkuu nafikiri sio majibu, kama ni staili hiyo hata Rizone naye atasema hivyo hivyo tangu apige biti wanasiasa hawajapanda jukwaani tena kumuongelea.

Mie naona ni vyema wanasiasa wawe wanawajibishwa kwa maneno yao, kuwaacha tu hivi ndo kunakozaa ahadi hewa kipindi cha uchaguzi.

rz1 yupi? Si alisema yeye ndo ataenda mahakaman baada ya ckt7,alidhan dr slaa na Mtikila wataogopa mbwa koko,wakasema atangulie,akagundua hana meno/jibwa koko,akatawanyika.
 
LAkini hata Mnyika alisema wataenda mahakamani.
 
Mheshimiwa Mkama, naona unakomalia jambo dogo kwa nguvu nyingi. Kama ungekomaa hivi kwa mafisadi wa chama cha magamba nadhani chama kisingepoteza mvuto kama ilivyo sasa.

Turudi kwenye hoja. Kwanza CHADEMA hawakutoa time limit halafu pili siku zote mtu makini au chama makini hufanya mambo kwa kutazama umuhimu na uhitaji wa haraka wa mambo. Huwezi kuwaacha wananchi wanaoonewa na serikali yao huko Tarime eti kwa kuanza kukimbizana na propaganda za watu kama huyo mama. Ama sivyo hutakuwa tofauti na chama cha magamba kinachothamini zaidi heshima kwa maiti kuliko uhai wa watu. Always do first things first.
 
Mkuu
Mie sikomalii jina la chama kwani jina halina chochote cha kufanya na maisha ya mtanzania. Mie nakomalia watu walio ama wasiokuwemo wanaofanya matendo kama ya baadhi ya viongozi waliomo ccm.

Mie siku zote, kutokana na falsafa yangu siwaamini wazee wa Tanzania walio na waliowahi kuwa ndani ya ccm , huwa siko zote naamini hawa ndo tatizo. Tunataka Radical change na sio mabadiliko ya kama ya Kenya, kubadili jina la KANU lakini watu ni wale wale.
Kama ningekuwa na uwezo, ningeshauri jeshi kuchukua nchi.
 
Back
Top Bottom