Kesi ya Prof. Mahalu – Zengwe jipya jikoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Prof. Mahalu – Zengwe jipya jikoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WhoToldU, May 27, 2011.

 1. W

  WhoToldU Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kesi ya Prof. Mahalu – Zengwe jipya jikoni

  Kuna habari kwamba upo uwezekano mkubwa upande wa mashitaka ukaumbuka kisawasawa kutokana na affidavit ya His Excellency BWM, our ex President kuwa ni ushahidi tosha wa kufutilia mbali kesi husika na kwa hivyo:
  1. Kesi yenyewe ni uongo uliosukwa makusudi ikiwa na malengo na maslahi binafsi ya watu mbalimbali
  2. Kufutwa kwa kesi ni embarrassment kubwa kwa upande wa mashitaka
  3. Tayari mchakato wa ulipaji wa fidia kwa watuhumiwa umebuniwa na kwamba Hazina wamesisitiza ofisi za wapishi wakuu wa zengwe hilo ziwajibike kwa hilo katika bajeti ijayo. Fidia itamegwa humo
  4. Uwezekano wa embarrassment itakayosababishwa na kushindwa kwa PCCB katika kesi hiyo tayari umesababisha mfarakano pale PCCB kwani:
  · Hadi sasa kesi imetafuna takribani USD 3 millioni pamoja na chenji ya millioni 800 pesa (other charges account – oc) za madafu
  · Mkurugenzi wa Pesa, Komba kahamishiwa kwingine (mikoani) sambamba na alivyohamishwa Ofisa Chami kwenda kusini.

  Ikumbukwe kwamba Chami ndiye mlalamikaji katika kesi husika. Uongo wa Chami na wenzake ndio uliowafikisha watumishi watatu wa MFAIC kizimbani (Balozi Mahalu, Mhasibu Prosper Migwano na Head of Chancery yaani Bi. Grace Martin)


  ·
  Yatokanayo na embarrassment ya kushindwa kesi ni juhudi zinazoendelea sasa hivi kutafuta mbuzi wa sadaka ili 'ku-save face' kwa kuunda ZENGWE JIPYA dhidi ya watuhumiwa wote waliobaki kwenye kesi kwani Prosper Migwano tayari alishandolewa baada ya kukubali kuwa shahidi wa upande wa mashitaka.

  Ni kweli kwamba Grace Martin naye alikuwa-approached ashabikie uongo ule akukubali kuwa shahidi wa upande wa mashitaka ili naye achomolewe. Juhudi za kuwakutanisha Grace Martin na kigogo mmoja wa PCCB zilifanywa na jamaa mmoja afisa wa BOT (kwao Old Moshi na jirani ya Bi Martin huko kijijini kwao Moshi) ambaye ni swahiba wa kigogo huyo.

  Mkutano ulipangwa ufanyike maeneo ya Mikocheni B nyumbani kwa Mchagaa huyo lakini Bi Martin alikataa kuhudhuria. Rekodi za simu zinadhihirisha kwamba mchana wa Jumamosi ile Bi Martin alipigiwa simu na kigogo huyo wa PCCB pale alipotaka kujua aliko Bi Martin kwani hakwenda kwenye kikao.

  Ni pale Bi Martin alipojibu kwamba "nipo Moshi" ndipo juhudi zilipokwama na kupelekea hasira kali dhidi yake. Inasemekana kwamba katika zengwe jipya huenda Bi Martin asichomoe kabisa na kwa hiyo mbuzi wa kafara, bangusilo, anaweza kuwa yeye.

  Ikumbukwe kwamba Bi Martin ameolewa na Christopher Martin ambaye inasemekana ni swahiba wa wa kogogo huyo huyo wa PCCB na kwamba:

  1.
  Bwana Martin anahusika moja kwa moja na upishi wa zengwe lote baada ya ndoa yao kuvunjika. Mengi yameandikwa hapa JF kuhusu kilichojiri katika ndoa yao. Siyarudii haya ila niongeze tu kwamba katika kikao cha baraza la usuluhishi wa mambo ya ndoa (kule welfare) ipo statement kwamba Bwana Martin alifumaniwa live katika kile kinachoitwa ‘kuliwa tigo' na muitaliano mmoja na ndiyo sababu ya kuvunjika kwa ndoa yao. Habari ndiyo hiyo!

  2.
  Juhudi za kupata ukweli zimepelekea kugundua kwamba Bwana Martin ni KIHIYO (uthibitisho upo) aliyekubuhu katika forgery, na ni muongo aina ile inayotajwa kama pathological. Huko kwao Moshi (anapatikana sana Leopard Motel) anajitambulisha kama ofisa wa PCCB. Anacho pia kitambulisho chao. Vihiyo wanaweza fanya mambo ya ajabu sana.

  3.
  Uswahiba wa Bwana Martin na kigogo huyo wa PCCB unahusishwa pia katika tenda aliyopewa Christopher Martin ku-supply office furniture (ex Italy) katika jengo jipya la makao makuu ya PCCB kwa kupitia kampuni ya Babini Office Furniture ya Italia.

  4.
  Bwana Martin ametumika katika mwenendo mzima wa kesi husika baada ya UONGO wake kupokelewa kwa mikono miwili na PCCB. Katika kutaka kumharibia mkewe inasemekana pia kwamba amelenga kutumia mchakato wa kesi kumyanganya mkewe nyumba iliyojengwa Tegeta ambayo valuation yake imefanywa na maofisa wa PCCB zaidi ya mara kumi.

  Pamoja na hayo ni inasemakana ati financers wa safari za Bwana Martin kwenda na kurudi Italia katika nyakati tofauti kufuatilia masuala ya ushahidi wa kesi husika ni hao hao PCCB.

  Unajua, katika sakata lote lisilo na kichwa wala mguu, Dola millioni tatu na madafu millioni mia nane za walipa kodi zingetosheleza kununua ambulance zaidi ya 25 za kubebea wagonjwa wakiwamo wajawazito badala ya bajaji.


  Habari ndiyo hiyo. Justice delayed is justice denied.
   
 2. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Haya yanawezekana Tanzania tu!
   
 3. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hilo fumanizi la Grace Martin kwa mumewe akiliwa tigo lilitokea Moshi, Dar au Italia walikokuwa wanaihujumu Tanzania?
  Jengo lenyewe walilolinunua si lolote, limejificha ubalozi wetu hakufikiki, ilikuwa waibe tu.
  pia hawatapatikana na hatia ninavyujua mahakama zetu, bora hukumu ya kifo itudi, wapigwe shaba tu, pia jengo liuzwe na inunuliwe ofisi ya balozi kwenye maeneo yaliko mabalozi mengine katikati ya mji wa Roma, na sie mitaa ya wafanyakazi wa kichina.
   
 4. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nina wasiwasi WhoToldu uenda ni pandikizi lenye lengo la kutifua mambo, vinginevyo haingii akilini ni kwa namna gani, mtu anayedhaniwa kuwa ni "great thinker," hata kama kwa kiwango cha 'ujunior," anaweza akatoa hukumu kwa kesi ambayo bado iki mahakamani!
   
 5. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hapo kwenye red .... ni mambo gani hayo ya kutifua? thx
   
 6. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  jamani, this is tanzania...
  hlo zengwe was obvious a cooked saga, na prof ni kafara tu hapo.
  walipe sasa fidia
   
 7. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Una undugu na mahalu??

  Maana unatoa info ambazo shemeji yake au mke wake tu ndio wanaweza kuwa nazo

  Can you value justice in monetary terms ? If Yes then you are way below what I expected!

  Nimeona una post 6 tu therefore its fair to conclude that you are here for a reason or rather on a specific mission!

  Goodluck buddy!
   
 8. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kumbe una IDs mbili, WhoToldU kwa ajili ya kupost new topics na DoubleOSeven kwa ajili ya kujibia. Sina imani na wewe!
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  last time mkuu ulikuja na email kibao za huyu bi-martin.......leo umekuja ki-vingine kabisa........
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  wajanja tushakujua......hahahhaa
   
 11. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wewe toka uingie humu post zako zinamhusu Prof Mahalu tuuuu huwa huoni mambo mengine ya kuchangia au umetumwa??

  Kama ni mpango wenu kutumia JF kutoa utetezi mmenoa, nendeni mahakamani na ushahidi wenu!


  Kuna habari kwamba upo uwezekano mkubwa upande wa mashitaka ukaumbuka kisawasawa kutokana na affidavit ya His Excellency BWM, our ex President kuwa... (By WhotoldYou)


  akushauri utofautishe siasa za maji taka na rule of law and order. Cha msingi hapa kwamba one is presumed innocent until proven otherwise. Furthermore, kale ka-concept, viz: natural justice......(By WhotoldYou)


  I am hitting the ground while running.
  Ndugu zangu salamu zangu hizi hapa. Hebu someni attachments hizi muone nani mwongo. (WHoTOldYou)

  na hii pia:
  Re: Yanayozungumzwa Ministry of Foreign and...(WHoToldYou)
   
 12. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Ebu nitafutie namba ya huyo Jamaa anayeliwa Tigo! au ya Mkewe
   
 13. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Grace ni nani kwako? Mbona Mahalu humtetei unabase kwa Grace! You have personal interest here!
   
 14. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,503
  Likes Received: 5,613
  Trophy Points: 280
  Jadilini issues raised na sio kuwa suspicious tu.hata kama ana post 6 kama mtu anamalalamiko hapa ndo mahala pake ndo maana JF imekuwa maarufu.mvueni nguo kwa kupinga aliyo raise na sio kuhisihisi tu tukiacha issues ziki hang.faida ya majadiliano ni kuibua mengi zaidi ya haya wakuu.
   
 15. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Team Grace is fighting back....kazi kweli kweli.

  [​IMG]  Grace mwenye ndio huyo hapo

  I think she is fighting back na sasa nimekuwa na interest kubwa juu yake

  anyone?

  I need to know more about Grace Martin
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mh,haya!!
   
Loading...