Raisi Kikwete tubu kwa Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi Kikwete tubu kwa Watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, May 27, 2011.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mimi ningemshauri Raisi Kikwete badala ya kulalamika atubu mabaya kwa Watanzania na atoe ahadi na kufanya jitihada za kubadilika. Kikwete hagombei tena urahisi huu ni wakati wa kufanya kazi bila siasa!.

  Raisi aambie watu ukweli.

  1. Kwamba amekuwa na urafiki wa karibu na mafisadi kitu ambacho si kizuri kwa nchi na jamii yetu
  2. Tatizo la umeme ni kubwa kuliko alivyokua akifikiria na aombe msamaha kwa mikataba mibaya na aseme anafanya nini kurekebisha shughuli.
  3. Aseme ukweli kwamba mambo mengi amefanya kisiasa badala ya manufaa ya nchi. Atoe mifano na kusonga mbele
  4. Aseme ukweli kwamba Chadema ni nzuri kwa nchi na CCM inatakiwa kubadilika atoe mifano na asema atafanya nini
  5. Aseme ukweli kwamba amekuwa kiongozi thaifu kwa muda na upole wake umetumika vibaya na mafisadi wengi. Asema atakuwa mkali na kuweka maamuzi kwa munufaa ya Tanzania
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hawezi akakiri hayo kwa sababu tz imejaa wajinga kibao hakuna anayedemand kikwete akiri hayo,kungekuwa na umhimu huo watu wasingemchagua jk mwaka jana.
   
 3. g

  gambatoto Senior Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umechemsha mkuu, Ukweli si sera ya Magamba.
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Roho zitawauma hadi mfe na. JK. yupo na ataendelea kuwepo wakati ninyi mnasubiri muambiwe ukweli na slaa. JK rais amiri jeshi mkuu.
   
Loading...