Nape na Suala la Vitambulisho vya Taifa; Maoni yake FB yajibiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape na Suala la Vitambulisho vya Taifa; Maoni yake FB yajibiwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tindikalikali, May 27, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Licha ya kupewa ushauri wa maana hapa jf, nape kaendeleza post zake zisizojitosheleza, baada ya majuzi kupost "chuo kik8 cha dodoma", leo kaandika "mchango wa vitambulisho vya taifa/utaifa katika uchumi", kilichofuatia ajajibu hata post moja iliyohitaji msimamo/ufanunuzi wake.
   
 2. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Nape amechanganyikiwa ! Anahitaji maombi ya wanccm wenzie
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Simuelewi huyu mtu, anaandika vitu ambavyo hata mtoto wa form 2 hawez kuandika
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,143
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  du huyu kijana namhurumia,miti yote inateleza balaa!
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  Hivi bila Nape au CCM hakuna habari nyingine??
   
 6. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  we unataka habari zipi? Zuia wasiseme/kufanya tunayoyaandika
   
 7. Chromium

  Chromium JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 598
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nape ni kilaza. Huwezi kuwa mtu mwenye akili timamu unapiga picha Ofisi ya Mkuu wa Wilaya halafu unabandika FB. Au unajipiga picha unabandika eti maisha ni safari ndefu. I know him very well. Kilaza asiye na mfano. Najua amefika hapo alipo kwa ubini wa baba yake hanga lolote kichwani. Kama huyu anaonekana mpiganaji basi CCM imejifia siku nyingi
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mh,
  au ndo kati za katibu mwenezi?
   
 9. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  alinukuliwa akidai, ccm haikuwah kupata mtu makini wa kujibu hoja za cdm, kama huu ndiyo umakini wake, bas ccm imekwisha
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  isije ikawa kuna mtu kam hack
   
 11. z

  zamlock JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  huyu ni kondoo aha ha aha
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  inaonekana hilo taito la "ukatibu uenezi" lina laana,ukipewa lazima
  akili ziruke kwanza
   
 13. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  ni vyema kupoteza muda vijiweni wakati mwingine
   
 14. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Pole yake nasikia jina lake ni NAPELAPE sasa huko FB angechapalapa
   
 15. Chromium

  Chromium JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 598
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kama "umakini" ndio huu, tena kwa kijana mdogo kama yeye, basi si ajabu CCM kimebaki kuwa chama kinachopendwa na wajinga (70%), wachumia tumbo na basi tu wenye kuendeleza majina ya baba zao. Bora nilale zangu mimi. Kila nikilifikiria lichama hili chakavu na haya majitu yanayojiona yana akili kuliko watanzania wote nashikwa na hasira za ghafla
   
 16. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Miti yote, hata yenye miiba
   
 17. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wee inaonyesha dikteta. lazima upende wanachoandika? mpotezee tu kama ndo hivyo
   
 18. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tatizo kila anachofanya mtu mnaona kosa...
  hata kupiga picha na mkuu wa wilaya na kutundika facebook imekuwa kosa kwako??? umeona facebook page za mbowe na slaa lkn au macho yako yanaona upande mmoja tu ??
   
 19. H

  Honey K JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Takwimu zinaonyesha kati ya walipa kodi 14mill, wanaolipa kodi ni 1.5 mill only...moja ya tatizo ni mfumo wa ukusanyaji kodi na inadaiwa National Ids inaweza kuwa moja ya suluhisho...
   
 20. malkiory

  malkiory JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la CCM wanathamini makada waliokulia vijiweni pamoja na kubebana kindugu na uswahiba ndani!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...