Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sitta na Mwakyembe wamejitwalia umaarufu kwa muda mrefu kama makamanda wa kupinga ufisadi ndani ya chama cha majoka. Lakini ufisadi ktk ccm ni namna tu ya kawaida ya kutenda kazi...ni mfumo ambao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF Habari za kuaminika nilizozipata sasa hivi tundu lisu na wenzake wameachiwa kwa dhamani kutoka mahama ya tarime.na ameambiwa asionekane nyamongo from today. source redio one breaking news...
1 Reactions
154 Replies
17K Views
Thursday, May 26, 2011, 8:27 Habari kuu, Rai *Wasomi, wabunge waitaka kubadili mwelekeo wa bajeti *Yatakiwa iachane na tabia ya kunakili za miaka iliyopita *Wengi walilia bajeti itakayonusuru...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkuu wa India kuanza ziara Tanzania Alhamisi (FikraPevu) Waziri Mkuu wa India Bw. Manmohan Singh anatarajiwa kuwasili nchini siku ya Alhamisi wiki hii kuanza ziara rasmi ya kiserikali...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Serikali yetu haileweki haki ya Mungu, Zombe leo hii naye anadiriki kusema hakutendewa haki wakati anakamatwa na kupelekwa mahakamani hatimaye gerezani, wakati akiwa mkuu wa polisi hakuyaona haya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tazama picha hii na uiumbe kimaandishi/maneno.
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Kamanda Godbless Lema ameitisha mkutano leo tarehe 25- 05-2011 utakaofanyika maeneo ya Arusha by night... ==== je habari za Kiinterejensia zitaruhusu mkutano huo....
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Polisi waendelea Kufanya vitu vyao. Hivi kweli tutafika kwa mwendo huu? Gazeti la Mwananchi lina habari kamili Polisi wapambana na raia Dar
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF hakika ninayafikiria baadhi ya mambo yanayotendeka humu nchini sasa nikiwakumbuka marehemu mwl J Kambarage Nyerere,E Moringe Sokoine na wengine waliokuwa na mapenzi mema na taifa letu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania, chama cha mapinduzi kimemtumia Rostam aziz kwa muda mrefu katika kupora mali zetu, ili chama hicho kujipatia fedha za kuendeshea shughuli mbalimbali za kichama. Toka enzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimejisikia vibaya sana, baada ya kukuta Tanzania, na hasa Dar es Salaam tukitangazwa nje ya nchi kama jiji chafu sana na kuwashauri watalii wanaokuja Tanzania. Nikajiuliza hivi kazi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kweli ukichokwa! Yaani CDM imezoa wanachama wapya zaidi ya 1000 Morogoro leo. Kwisha habari yao 2015 tunapata mbwa mwenye uwezo wa kumsukuma Kalumekenge aende shule. Source: ITV
1 Reactions
31 Replies
4K Views
By BILHAM KIMATI, 24th May 2011 @ 12:00, VETERAN politician and long serving legislator Dr Chrisant Mzindakaya has proposed momentous reforms within the CCM administrative structures, that...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
May I propose that if the reports that we have been receiving in the past few hours on the forceful removal and displacement of dead bodies from a mortuary in Tarie by the police are indeed true...
8 Reactions
54 Replies
5K Views
mara kwa mara manispaa ya musoma imekuwa inachelewesha mishahara ya watumishi wake, tatizo liko wapi na ni kwanini hawa watumishi wanakuwa hawapewi sababu za kucheleweshwa kwa mishahara yao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Written by Nassor20 // 25/05/2011 // Habari // No comments May 9, 2011 by zanzibardaima Muasisi wa Muungano, Julius Kambarage Nyerere Hakuna woga katika kulizungumza suala la kuvunja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ripoti Ya Mjadala Wa Kuadhimisha Miaka 47 Ya Muungano Wa Tanganyika Na Zanzibar (Froud Community Centre – Uk) (Umetayarishwa na Jumuiya ya Zanzibar Welfare Association –ZAWA) 23 April, 2011...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tatizo la CCM bado wana siasa zile za enzi ya kudai uhuru!! Siasa hizi ni za mtindo wa kushambulia mtu si Sera/hoja. Mtindo huu wamerithi kutoka kwa wakoloni. kwa CCM ukiwapinga wanaanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chadema ielekeze nguvu zake zaidi katika kufanikisha katiba mpya. haswa kuanzia vijijini mpaka katika mikoa yake. hili uwezekano wa katiba mpya uwe kabla Kikwete ajamaliza muda wake yaani ndani ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuuzwa mitambo Dowans balaa *Yadaiwa ni kitendo cha kudharau mahakama Na Rabia Bakari Majira KUUZWA kwa mitambo ya Dowans kwa kampuni ya Kimarekani ya symbion Power kumezua balaa jipya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom