Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani chama changu cha magamba kiko ICU. Kina hali mbaya sana. Enzi za uhai wangu nilijaribu kukilinda kwa majini na maruhani kutoka kuzimu kwa baba yangu Shetani, lakini bado nilipata wakati...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nashangaa kuona hizi taasisi mbili za serikali zinafanya siasa badala ya kufanya kazi kwa mujibu wa sheria. Mfano ni mara kwa mara tumeona TRA na PCCB wamekuwa wakijitokeza kujibu tuhuma ambazo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Tanga kimewashukia viongozi wake waliohamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kusema kuwa ni waroho wa madaraka. Akizungumza katika mkutano wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanzoni mwa Mwaka 2005 kulishamiri kundi moja la watu maarufu hapa TZ liloitwa Wanamtandao. kundi hili lilianza rasmi mwaka 1995 ambalo vision na mission yake ni kuongoza Serikali ya JMT(URT)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
na Edward Kinabo, Mufindi KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataja vigogo na watendaji wa serikali wakiwamo mawaziri wawili na wabunge...
0 Reactions
68 Replies
7K Views
Mbunge wa zamani wa jimbo la Musoma mjini kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Vedasto Mathayo ameomba arudishiwe madawati yake yenye thamani ya shilingi milion 18 aliyoyatoa kwa shule mbali mbali...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Ni kwamba mgombea urais kwa tiketi ya UPDP, ametangaza kuwa kura zake zote (waliopanga kumpigia) ziende kwa mgombea wa ccm, JK. Sababu kukosewa jina lake kwenye fomu za uteuzi. Tutarajie mengi...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa ametolea ufafanuzi hati ya kukamatwa kwao yeye na viongozi waandamizi wa Chadema iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Arusha,amesema kuwa waliomba ruhusa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
RAI YA JENERALI Maandiko 12 ukutani, nasi twacheza nachi Jenerali Ulimwengu Mei 25, 2011 KATIKA makala yangu iliyopita nilisema kwamba tunatakiwa kuacha kupiga chenga masuala...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
i do not believe if Tanzania have such mental thinking. The Global of bussines is looking Tanzania as people of same thinking. Chadema now is a problem to the country. They are not a political...
3 Reactions
265 Replies
21K Views
Tarime ninavyoifahamu kwa mavurugu,nashangaa kwa nini Nguvu ya umma haikutumika kama ilivyotokea Arusha, pindi Tundu Lissu alivyokamatwa na kutiwa lupango.Kilicho mpeleka Tundu Lissu Tarime ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
By In2EastAfrica - Thu May 26, 8:47 pm Richmond agent, Mr Naeem Gire, is charged with five counts of forgery and uttering forged documents to the Tanesco Tender Board in regard to the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), John Cheyo amekataa kusikiliza maelezo yoyote ya utetezi na kuwatimua viongozi wa Mkoa wa Lindi, baada ya kubaini ufisadi wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1.Awe na uwezo wa kiakili (redeemed intelectual capacity) 2.Anamudu majukumu yake kiufasaha 3.Anaweza kuomba radhi akifanya makosa ya kiutendaji 4.Anaweza kuachia ngazi kwa hiari akishindwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
BAADHI ya Watanzania wanaamini kuwa serikali na uongozi uliopo nchini hivi sasa utaitendea haki katiba mpya na kuwatendea haki wananchi wa nchi hii kwa kukubali kuwepo kwa Baraza la Katiba Mpya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WanaJf, Kwanza nawasalimu. Naomba maoni yenu katika kusudi langu la kutaka kuwa rais wa Tz mwaka 2030 kama Mungu akinipa uhai. Ninachotarajia kufanya nitakapopata uraisi ni pamoja na: 1...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Ndugu zanguni,katika mafundisho yangu ya dini nimefundishwa kuwa Uongozi wowote ule unatoka kwa Mungu,..Na sio kwa SHETANI hata kama umeingia kwa RUshwa...Lakini mwenyezi Mungu anaacha ata ule...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
PIUS KATUNZI: Kikwete's victory leaves foul taste in the mouth Sunday, 07 November 2010 President Jakaya Mrisho Kikwete has survived the repudiation of his countrymen, but, in a way, he...
0 Reactions
97 Replies
11K Views
EGYPT: ███ 100% Complete TUNISIA: ███ 100% Complete LIBYA: █ Downloading... ALGERIA: █ Downloading... IVORY COAST: █ 60% (Alert...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kutofika mahakamani bila Taarifa, mahakama yaamuru Viongozi wa chadema, Mh Mbowe, Dr Slaa, Lema, Ndesa, Selasini kukamatwa. Nimefanya mawasiliano na hawa viongozi wabunge wamesema...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Back
Top Bottom