Unesco mmechakachuliwa na ccm au mlipanga iwe hivyo kwenye maonyesho

mkibunga

Senior Member
Nov 17, 2010
196
25
Wana JF kuna jambo hapa laweza kuwa kudhihirisha kwishiwa kwa serikali au muendelezo wa ufisadi nchini na kwa ccm kiujumla. nimetonywa kuwa ile siku ya kemia duniani iliyoadhimishwa pale diamondjubilee jana 26/5/2011 ikidhaminiwa na UNESCO lile shirika la elimu na sayansi la UN wanafunzi walioletwa kushiriki wametoka shule za ccm tu hakuna cha st.marian,kibosho,kifungilo,ilboru,au feza ama kibaha shule ambayo mwaka huu imetoa mwanafunzi bora kidato cha sita PCM. nasikia wametoka shule ya mkoa wa kilimanjaro.mbeya na dsm shule za wazazi ccm na hawakuwalipa wale wanafunzi chochote hata sebnti tano ya chakula.malazi.au chakula toka mbeya ,moshi hadi dsm na kurudi shuleni kwao.
1.unesco ndivyo siku hizi imefikia kuwatesa watoto wetu umbali wote huu kisha wasilipwe chochote walipewa maji na soda kwa muda wote wa maonyesho saa 3 hadi 9
2. ni kigezo gani unesco wametumia kuzialika shule za chama tawala tu
3. waandalizi wa maadhimisho ya siku hii ya kemia wanatueleza nini wamchakachua au waliiuzia dill serikali ikala njama na ccm wakachote pesa hizo za kuwagharamia watoto wetu huku wakiwatisha wakuu wa shule zao walete watoto kwa kuwasafirisha (shule zigharamie huku pesa za unesco us dollar wametia kwapani
4.ccm wameifichia aibu serikali kwa kuwa pesa iliyotolewa ilikopwa ilipe mishahara wafanyakazi ambao hadi leo hatujalipwa chochote
Wana JF FANYENI UCHUNGUZI TUBAINI UKWELI naomba kuwasilisha
 
Taja hizo shule walikotoka hao wanafunzi tujue kama ni za CCM au unajichanganya,CCM ina shule?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom