Wengi wetu tunatambua wazi kuwa kazi inayofanywa na CHADEMA na baadhi ya vyama vya upinzani inahitaji kuungwa mkono. Tunatakiwa kuunga mkono juhudi za CDM kwa sababu nyingi, zikiwemo hizi...
Nimefuatilia kwa makini sana hutuba nzuri zilizowakilishwa na mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini pamoja na maoni ya kambi ya upinnzani katika wizara hiyo na nimeona itakuwa busara...
Nimefuatilia kwa makini sana hutuba nzuri zilizowakilishwa na mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini pamoja na maoni ya kambi ya upinnzani katika wizara hiyo na nimeona itakuwa busara...
Just imagine. baada ya Rostam kutangaza kujivua gamba na kuamua kujitangaza wazi kwamba hata ubunge amejiuzulu. lkn tume ya uchaguzi hasa mzee kiravu ambae anasifika kwa kutoa taarifa za haraka...
Polisi wadaiwa kujeruhi watu wanne mgodi wa Nyamongo
Send to a friend
Friday, 15 July 2011 20:23
0diggsdigg
Anthony Mayunga, Mara
POLISI wanaolinda mgodi wa Nyamongo unaomilikiwa na...
Baada ya CCM na Baadhi ya Viongozi wake,Wakiwamo wabunge Kubeza Maandamano ya Amani ya CDM, Nao yamewakuta,nao wanaibukia mbeya kufanya maandamano makubwa yatakayoongozwa na Sitta.
Swala langu...
Wanajf niko hapa arusha leo j.mosi, kuna gari linapita mitaani kuwakaribisha wananchi ofisi za manispaa kwa ajili ya sherehe za kuwapongeza madiwani kukubaliana kufanya kazi pamoja,,
nijuavyo...
Nilikua nasoma mada hapo chini ya jinsi spika aliyepita anavyoendelea kukaa kwenye nyumba ya serikali kwa kisingizio cha ustaafu.
Kila kukicha viongozi wetu wanashindana kufanya ufisadi bila...
Mbona sijaona waandishi wa habari wakimfuata Mhe JK na kumuuliza nae lini atajivua gamba.
Wameng'ang'ania Mhe Lowassa ambaye alishajivua gamba mwaka 2008.
Aliyebaki kujivua gamba kwa tuhuma za...
tatizo la umeme tanzania sasa ni janga la kitaifa.......wewe na mimi kama wananchi wazalendo wa nchi hii tuisaidie serikali katika kufikia njia sahihi za kutuepusha katika janga hili. Toa mawazo...
Kwa mujibu wa taarifa za Magazeti, Mwenyekiti wa CCM amesikitishwa na Kitendo cha Rostam Aziz kujiuzulu! Hivi si yeye aliyesimamia vikao vya kuwataka wanaotuhumiwa wajivue gamba? Kama kweli...
Serikali itandoa polisi wote wanaolinda mgodi wa North Mara Gold Mine. Polisi wataondolewa kwa awamu katika kipindi cha miezi miwili ijayo. Serikali kupitia polisi imeshaitaarifu Barrick Gold...
Imejitokeza mara kadhaa katika nchi yetu viongozi wanaotuhumiwa kwa ufisadi wanapojiuzuru nyadhifa zao mara warudipo majimboni kwao hupokelewa kama mashujaa na washindi wa vita.Hali hiyo iliwahi...
Jamaa anapresent facts za mafuta na mengineyo!ni mtaalamu wa mafuta for the last 20 years!Pia ni consultance anaweza fanya consultation bure
Anasema aliandaliwa na Sokoine kwenye sector ya mafuta
Uchaguzi wa Tanzania hasa kwa wapinzani hauminiki.
1995 Mrema alikuwa ni mmoja wa viongozi waliotikisa ccm. alipata kura nyingi kuliko mgombea mwengine wa Upinzani. hadi leo record yake...
Nape amedai ataendelea kutetea matumizi mazuri ya Rasilimali za Taifa!Kadhalika,kuna baadhi ya watu matajiri hawapendezwi na jitihada zake na wamepanga kumchafua!
Jamani mie Mkweche mnisaidiage...
Hotuba yake kwa Wabunge wale wale ambao miaka sita baadaye wameamua kumgeukia Ngeleja; Wabunge wanaosahau kuwa Kikwete huyo huyo ndiye alikuwa Waziri wa Nishati na Madini na hawakumkoromea hivi...
Leo ni kama siku ya pili hivi, tangu mbunge wetu Rostam ajivue gamba kutokana na kashifa za kuiingiza serikali loss kubwa mpaka nchi yetu kujulikana duniani kote kutokana na madeni mengi mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.