Pendekezo. Tumjenge dk slaa kabla 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pendekezo. Tumjenge dk slaa kabla 2015

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Malaria Sugu, Jul 15, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi wa Tanzania hasa kwa wapinzani hauminiki.
  1995 Mrema alikuwa ni mmoja wa viongozi waliotikisa ccm. alipata kura nyingi kuliko mgombea mwengine wa Upinzani. hadi leo record yake haijavunjwa.
  2000 Mrema alimwaga vibaya na ccm. nafasi yake kuchukuliwa na LIPUMBA.
  2010 dk slaa akamuangusha Lipumba, Dk slaa ameweka record ya kuingiza wabunge wengi kupitia Chadema. lkn pia ameshusha ushindi wa Jk kutka 80 hadi 63.
  ndio kiongozi alevuruga ccm kutukana na matokeo wasiotegemea ya CCM. hadi leo CCM hawatambuani .

  2015 Uchaguzi unakarabia. CCM wanatamani dk sllaa apate mapinduzi kama akina mrema na LIpumba.
  Jee lini la kumjenga sasa dk slaa kabla ili 2015 awe ngome kuu ya Upinzani?
   
 2. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hauwezi kung'arisha Almasi! Inang'aa yenyewe.DR SLAA TUNAMHITAJI,TUNAMWAMINI!
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwishney.! Atakuwa amezeeka huyo hatutaki rais mzee
   
 4. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  unaangalia uzee au UWEZO! HOJA NYEPESI ZINAJADIRI WATU HOJA ZENYE NGUVU ZINAJADILI UWEZO.Ondoka huko uliko!
   
 5. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Jambo kubwa linalotakiwa ni kuwaelimisha wale wapnzani mamluki kama Mzray, dovu.twa, n.k watulze ball ili mchuano uwe mwepesi kati ya slaa (cdm) na hao na magamba hapo ndpo anguko la magamba linatakapokuwa.
   
 6. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Dr. slaa ni jamaa unayeweza kumwamini, moyo wake umejaa ukweli mtupu. He is a good guy and can be our second father of this national. We must use him for the better of our national. Mungu atatushangaa kwamba alitupa kiongozi lakini hatukumpa nafasi .
   
Loading...