Hawamnyoshei Kidole Kikwete? - Alichoahidi Hotuba ya kwanza Bungeni 2005 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawamnyoshei Kidole Kikwete? - Alichoahidi Hotuba ya kwanza Bungeni 2005

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jul 15, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Hotuba yake kwa Wabunge wale wale ambao miaka sita baadaye wameamua kumgeukia Ngeleja; Wabunge wanaosahau kuwa Kikwete huyo huyo ndiye alikuwa Waziri wa Nishati na Madini na hawakumkoromea hivi.. well.. kama kweli watu wamekasirishwa na tatizo la umeme mtu sahihi siyo Waziri Mkuu wala Waziri wa Nishati ni Rais.. na chama chake...

   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Na mpaka leo mwaka wa sita mamlakani hakuna kilichofanyika.
   
 3. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Nakunga mkono M. Mwanakijiji, haiwezekeni amfuko atoboe mwenye nguo halafu alaumiwe alie azimwa nguo. Jk ndio wa kusulubiwa si Ngeleja, Ngeleja amewekwa hapo kwa faida ya wachache ikiwemo aliyemrudisha hapo kwa vipindi 2 mfululuzo.
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  thnks MMJ

  stori zinakuwa zilezile na mibunge yetu sijui ikoje kazi yao kuunga mkono mkona agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,462
  Likes Received: 19,839
  Trophy Points: 280
  jumlisha na ya kikwete alipokuwa waziri wa nishati na madini
  mingapi jumla???????????????????
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Magwanda wanashangaza kweli kweli, hivi nyinyi kimewashinda nini kuonesha mfano? wakati sasa ni soko huru? na mnao mafariki wanaowatembelea kama kile chama cha kikristo cha ujerumani, hivi mnashindwa kuongea nao wawakopeshe majenereta ya umeme muoneshe mfano?
   
 7. M

  Mkandara Verified User

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Umefunga mjadala wooote. Mwenye macho haambiwi tazama...
   
Loading...