Kujivua gamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujivua gamba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sogole, Jul 15, 2011.

 1. sogole

  sogole Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo ni kama siku ya pili hivi, tangu mbunge wetu Rostam ajivue gamba kutokana na kashifa za kuiingiza serikali loss kubwa mpaka nchi yetu kujulikana duniani kote kutokana na madeni mengi mpaka tunashindwa kuyalipa.Kwanza napenda kukupongeza Rostamu kwa uamuzi mzito na wenye busara wa kujivua gamba kwa maslahi ya chama na serikali kwa ujumla, umeonyesha mfano bora na wa kuigwa na tunawataka na wengine wafuate nyayo zako. Pili napenda kukupongeza sana kwa maendeleo uliyoyapeleka jimboni kwako big-up aziz , hakika kila penye zuri hapakosi baya! anaongea mkazi mmoja wa jimbo la igunga, Naamini wakazi wa igunga wataathirika sana na kuona hili ni kama pigo kwao, wakati mkazi wa tandahimba na buguruni anachekelea, kwani wahenga husema! siri ya mtungi aijuaye kata,maana yake nini? kilichochukuliwa mjengoni kimewanufaisha wachache na maanisha wakazi wa igunga na hali wakazi wa tunduru hawajafaidika na chochote na ndiyo maana nasema pengine kwao ni furaha.mwisho naomba kusema neno moja kwambatmwenzako anyolewapo.....
   
Loading...