kwa yotote anayehusika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa yotote anayehusika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwana wa africa, Jul 16, 2011.

 1. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Nimefuatilia kwa makini sana hutuba nzuri zilizowakilishwa na mwenyekiti wa kamati ya bunge ya nishati na madini pamoja na maoni ya kambi ya upinnzani katika wizara hiyo na nimeona itakuwa busara kama kuna yeyote mwenye access na hotuba hizo aturushie hapa jamvini ili nasi tupate kuzisoma ndani ya misatari na kuona kinachoendelea tanzania katika sakata la umeme na madini kwa undani wake. Na zaidi sana hizi ni aina ya hotuba ambazo zinastahili kusomwa na kuhifadhiwa kwa ajili ya reference kwa matamko mbalimbali yanayotolewa na serikali juu ya sakata la kupata suluhu ya umeme na hatma ya madini yetu. Naomba kuwasilisha hoja.
   
Loading...