Maji yakishamwagika hayazoleki-nini kifanyike kutatua tatizo la umeme

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
1,017
619
tatizo la umeme tanzania sasa ni janga la kitaifa.......wewe na mimi kama wananchi wazalendo wa nchi hii tuisaidie serikali katika kufikia njia sahihi za kutuepusha katika janga hili. Toa mawazo yako nini kifanyike na sioi kulaumu tu kwani maji yakishamwagika hayazoleki

Huo ni msemo wa kizamani,maji yanazoleka yakimwagika...ukitumia utaalamu.
 
tatizo la umeme tanzania sasa ni janga la kitaifa.......wewe na mimi kama wananchi wazalendo wa nchi hii tuisaidie serikali katika kufikia njia sahihi za kutuepusha katika janga hili. Toa mawazo yako nini kifanyike na sioi kulaumu tu kwani maji yakishamwagika hayazoleki

Haya maji yalishamwagika miaka 15 iliyopita, wananchi wakaenda teka mengine yakapigwa teke leo tena unawataka wananchi wachangie mawazo gani. Bungeni kila siku hadithi za makaa ya mawe, gas, kukarabati dams zetu na kadhalika yote haya yamezungumzwa kwa zaidi ya miaka 10. Kipi tena wananchi wanaweza kuchangia.
Baradhuli kumkabidhi mke ni kuitakia nyumba aibu!
 
Back
Top Bottom