Magamba nao wamo-MB Mwijage

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Jamaa anapresent facts za mafuta na mengineyo!ni mtaalamu wa mafuta for the last 20 years!Pia ni consultance anaweza fanya consultation bure
Anasema aliandaliwa na Sokoine kwenye sector ya mafuta
 
Sijakusoma bado au unawahidithia watutu waliomsikiliza .
 
mwenyewe nimemkubali sana tukiwa na wanamagamba kumi ccm insingeitwa magamba!
 
Jamaa ana uzoefu wa kufa mtu!namfahamu sana!n mtaalamu alikulia Tpdc enzi hizo wanafanya biashara ya mafuta!
 
Kiukweli jamaa kasema fact achia mbali misifa yake
Kwani huyu Mwijage ni Nshomile? Kama ni Nshomile basi musishangae ila kiukweli jamaa anaju anachoongea. Maana mimi mwanzoni nilifikiri ni mbunge wa upinzani kumbe ni Wa CCM. Sasa hawa watu Wa TISS wanaomshauri Raisi kuhusu cabinet hawakuiona CV ya Mwijage?Inashangaza kuona kwenye cabinet ya JK kuna watu ambao shule na visomo vyao ni vya kugushi na performance ni mbaya lakini watu Kama Mwijage wako un-utilized
 
Hamna lolote ni mpango wa magamba wa kumwokoa ngereja. Huoni walivyojipanga kila mpinza akimaliza wanaibuka na hoja hovyo ilikufunka yaliyosemwa na mchangiaji aliyepinga hoja.

Huyu mbunge alikuwa najisifia mwenyewe kama mjinga. Nani alikuwa anataka kujua elimu yake ni ulimbukeni kweli.

Ila nadhani adhima ilikuwa ni kuharibu ni kufifisha mchango wa zitto.

Kwa mtu analytical huwezi kuelewa hata alichokuwa anachangia zaidi ya kujisifia tu mwenyewe na kutishia eti yeye mara ni usalama wa taifa mara ni mtaalamu. Yeye kama yeye pamoja na huo utumishi wa muda mrefu mchango wake ni upi katika tatizo hili? Amekula ameshiba sasa anaongea pumba nadhani alikuwa amelewa siyo bure. Stupid!
 
Mnapoleta hoja jamvini jueni wengi wetu tunakuwa hatutazami kipindi, hivyo bora kufafanua hoja ili tuweze kuchangia. Siyo kutuchanganya kwa mambo tusiyoyajua.
 
Huyu si ndie aliyevuliwa GAMBA na wananchi huko jimboni kwake?

 
Last edited by a moderator:
Zaidi ya kuongea kwa sauti ya juu na kujisifia sijaona jipya. He was too scattered
 
Tuache ushabiki wa siasa, mimi mwenyewe magamba nawachukia sana lakini Mwijage ni JEMBE! Jamaa anaelewa vitu na angetumiwa vizuri angeweza kuwasaidia sana wazee wa serikali iliyojaa vilaza na viongozi wenye mawazo mgando!
 
Hamna lolote ni mpango wa magamba wa kumwokoa ngereja. Huoni walivyojipanga kila mpinza akimaliza wanaibuka na hoja hovyo ilikufunka yaliyosemwa na mchangiaji aliyepinga hoja.Huyu mbunge alikuwa najisifia mwenyewe kama mjinga. Nani alikuwaJamani tuache wivu usio na maana wa kuponda bila kuangalia mambo ya msingi. Yule jamaa hajitapi bali ana facts na kwenye sayansi mtu mwenye facts ndiye mwenye haki ya kuongea. Ukitaka kuwa great thinker nenda kwenye hoja alizotoa ndiyo uzi challenge otherwise itakuwa ni wivu usio na maana. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Tuache ushabiki wa siasa, mimi mwenyewe magamba nawachukia sana lakini Mwijage ni JEMBE! Jamaa anaelewa vitu na angetumiwa vizuri angeweza kuwasaidia sana wazee wa serikali iliyojaa vilaza na viongozi wenye mawazo mgando!
kama anaipenda ccm amedumaa , anakataa kutongozwa huku anaelekea chumbani na umeme huu wa Tanesco
 
Hamna lolote ni mpango wa magamba wa kumwokoa ngereja. Huoni walivyojipanga kila mpinza akimaliza wanaibuka na hoja hovyo ilikufunka yaliyosemwa na mchangiaji aliyepinga hoja.Huyu mbunge alikuwa najisifia mwenyewe kama mjinga. Nani alikuwa anataka kujua elimu yake ni ulimbukeni kweli.Ila nadhani adhima ilikuwa ni kuharibu ni kufifisha mchango wa zitto.Kwa mtu analytical huwezi kuelewa hata alichokuwa anachangia zaidi ya kujisifia tu mwenyewe na kutishia eti yeye mara ni usalama wa taifa mara ni mtaalamu. Yeye kama yeye pamoja na huo utumishi wa muda mrefu mchango wake ni upi katika tatizo hili? Amekula ameshiba sasa anaongea pumba nadhani alikuwa amelewa siyo bure. Stupid!
Nimegundua hapa Jf kuna watu empty in mind na easy kutongozeka yule jamaa kama umemsia vizuri anatafuta umarufu wa kutokea hana jipya tena si m2 makini wakutegemeka huwezi ongea upupu kama ule eti kwakuwa ni msomi ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom