Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nampenda sana Samweli Sitta.Sitta mara nyingi huwa hafichi mawazo yake na uchu wa madaraka aliyonayo.Mwaka 2009 kulikuwa na tishio la kumfukuza Sitta uanachama wa CCM.Mara moja nikapenda move...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
...............................................
0 Reactions
15 Replies
4K Views
wanajamiiii kwa hili la rostam kujivua uongozi kwenye ccm mimi naona DR slaa anahitaji pongezi kubwa kwa kuchangia mgamba wamuone RM kua ni gamba la kujibandua ccm naomba maoni pls
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Kamanda tunaomba yaliyojiri Arusha kwani msipotujuza hali yenu itakuwa Mbaya.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani kwa utafiti wangu niliofanya kwa haraka haraka na kwa kusikia toka kwa wadau mbalimbali ni kwamba vyoo vingi vya shule za serikali vimejaa, vinanuka na hakuna wa kusimamia na kurekebisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Na hili ni swali la papo kwa papo kwa Mhe waziri Mkuu, Dkt Kayanza Pinda. Zama za kale wahenga walinena kwamba ‘ngoma ikipigwa Unguja, Bara hucheza’ (enzi zile za utawala wa Waarabu, Unguja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani kama kunamtu anasoft copy ya hotuba ya nishart na madini naomba aiweke hapa jamvini....au kama anajua website ambapo naweza kuipata nayo sawa tu nitashukuru sana
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Nadhani kila mtu anaona jinsi watanzania wenzetu wananvyo danganywa na wanamagamba eti wanajivua gamba kwa kuwaomba baadhi ya watu kuachia vyeo ili kukisafisha chama. Magamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TAARIFA KWA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA ZIARA YA KISERIKALI NCHINI AFRIKA KUSINI, TAREHE 18-21 JULAI 2011 1.0 UTANGULIZI Kufuatia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Human beings by nature want happiness and do not want suffering. With that feeling everyone tries to achieve happiness and tries to get rid of suffering, and everyone has the basic right to do...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kung'atuka Rostam kwabaki siri ya JK Friday, 15 July 2011 20:36 Waandishi Wetu Mwananchi UAMUZI wa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz kuachia nyadhifa zake ndani ya chama tawala, CCM mapema...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana jamii forums napenda kuuliza hii swali kwenu wote bila kujali itikadi zetu za kisiasa, kwanini watanzania hatuna uchungu na nchi yetu? nimeuliza hivyo kwasababu hali ya nchi yetu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Great Thinkers, nimekuwa nikijiuliza hivi kwa nini vyombo vya habari (hususani magazeti=haswa mwananchi) kwa nini kwenye title zao huwa hawaanzi na title ya MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wabunge wamkaanga Waziri Ngeleja Friday, 15 July 2011 20:33 Leon Bahati, Dodoma Mwananchi WABUNGE jana walimweka kitimoto Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja baadhi yao...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wapinzani waibua ulaji wa mamilioni kwa posho Nishati na Madini Friday, 15 July 2011 20:28 Fidelis Butahe, Hussein Issa Mwananchi WAKATI Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni ikiiponda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeona tangazo kwenye magazeti ya Mtanzania, Dimba, na Rai kuwa waziri mkuu wa kenya Raila Odinga anategemewa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi mpya wa magazeti ya fisadi Rostam Aziz Odinga...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Hivi wananchi waliomwomba kikwete awapeleke mafisadi ku-face justice au kujiuzuru? Kuna kitu kikwete ana-miss hapa na hizi tactics za danganya toto ndio zinafanikiwa only kwa wajinga. The major...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka kujua tuu hawa TBL hii ni coincidence au ina maana na wao wapo kwenye vita dhidi ya mafanikio ya JK? Maana kwenye kampeni yao ya miaka 50 ya uhuru wameonyesha tulipotoka, tulipopitia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sioni kabisa kinachozuia Tanzania kufanana na Somalia. Kila indication zinaonekana kabisa kwamba tupo katika hali ya kuitwa 'failed state'Sasa hivi tuna viongozi wasiochaguliwa na wananchi na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuelekea kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Taifa letu. Tuwaenzi na kuwapa heshima za dhati Viongozi mashujaa wa Taifa letu. Tuwataje kwa MAJINA na kwa MICHANGO yao mbalimbali, mashujaa wa Taifa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom