Kikwete anasikitika kujiuzulu kwa Rostam au geresha tu?

Untwa

Member
Jul 15, 2011
30
5
Kwa mujibu wa taarifa za Magazeti, Mwenyekiti wa CCM amesikitishwa na Kitendo cha Rostam Aziz kujiuzulu! Hivi si yeye aliyesimamia vikao vya kuwataka wanaotuhumiwa wajivue gamba? Kama kweli anasikitika anataka wananchi tumueleweje?
 
Mnafiki huyo kwani wewe hufahamu pindi lowassa anajiudhulu alitoa kauli kama hizo wakati kwenye vikao vya chama vya kumshinikidha lowassa ajiudhulu alihudhulia.
 
Kumbuka wana historia ndefu. Kwa watawala wetu, bila shinikizo la nje nani yuko tayari kuwajibika?
 
Unajua Kikwete ni kama mzazi, ambaye peke yake ndiye mwenye uchungu wa mwana. Duniani hakuna mzazi anayechekelea kifo cha mtoto wake, isitoshe Rostam amekuwa msaada mkubwa sana kwa chama. Bila shaka kujiuzulu kwake kutaleta pigo kubwa sana kwa ustawi wa chama na maendeleo ya taifa kwa ujumla.
 
Kwa mujibu wa taarifa za Magazeti, Mwenyekiti wa CCM amesikitishwa na Kitendo cha Rostam Aziz kujiuzulu! Hivi si yeye aliyesimamia vikao vya kuwataka wanaotuhumiwa wajivue gamba? Kama kweli anasikitika anataka wananchi tumueleweje?
What? Which Kikwete? Ridhiwan, ooh the chairmam Ok...they wonders shall never end.
 
Kwa mujibu wa taarifa za Magazeti, Mwenyekiti wa CCM amesikitishwa na Kitendo cha Rostam Aziz kujiuzulu! Hivi si yeye aliyesimamia vikao vya kuwataka wanaotuhumiwa wajivue gamba? Kama kweli anasikitika anataka wananchi tumueleweje?

Hicho ni kilio cha mamba!! Mamba huwa anammeza mtu huku machozi yakimtoka mamba machoni kwa hiyo utadhani analia kumbe anatoa machozi ya furaha baada ya kupata windo nono!!!
 
hivi kikwete anajitambua kweli aua yupo yupo tu ...yaai rais anakuwa na maneno na mawazo kama muuza kashata..aghhhhh
 
Lazima asikitike! Mlitakata afurahi?

Unajua Kikwete ni kama mzazi, ambaye peke yake ndiye mwenye uchungu wa mwana. Duniani hakuna mzazi anayechekelea kifo cha mtoto wake, isitoshe Rostam amekuwa msaada mkubwa sana kwa chama. Bila shaka kujiuzulu kwake kutaleta pigo kubwa sana kwa ustawi wa chama na maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Kwa mara ya kwanza naungana nanyi kweli lazima Kikwete asikitike kwa vile anajua RA alivo play part kumuweka magogoni.
 
Bado nakumbuka kujiuzulu kwa "waziri mkuu Lowasa", hiyo ilikuwa ajali ya kisiasa. Na hatimae ya comments za waziri mkuu Mizengo Pinda juu ya maamuzi magumu ya serikali.
 
Unajua hii ya Rostam ni mojawapo consequence ya kauli ya Lowassa aliyotoa bungeni kuhusu maamuzi magumu! Naamini kuna wengine wataibika na kujiuzulu!
 
Acha danganya watu wewe......lowasa hakukishauri chama ameishauri serikali.......sasa maamuz magumu gani ya serikali dhid ya rost-HAMU

Back
Top Bottom