Samwel Sitta na Anna Kilango Malecela kuongoza maandamano Mbeya

MKWECHE

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
299
64
Baada ya CCM na Baadhi ya Viongozi wake,Wakiwamo wabunge Kubeza Maandamano ya Amani ya CDM, Nao yamewakuta,nao wanaibukia mbeya kufanya maandamano makubwa yatakayoongozwa na Sitta.
Swala langu Je?Maandamano ya wale ni Uvunjifu wa Amani na Yetu Je?
Ni kazi kweli kweli!
 
Tuhabarishe maandamano yanahusu nini na yatafanyika lini, hapo itakuwa rahisi na sisi kuchangia
 
Nyie hamjui ,wakiandamana CCM wanayaita 'matembezi ya hisani' ila kwa wapinzania ni maandamano
 
Sitta yuko kwenye kampeni za urais mwaka 2015. Sitta mpenda madaraka mno na kigeugeu, wala hafai hata kidogo.
 
Nitashangaa na kushangaa ikiwa kweli wanapanga kufanya hayo maandamano. Lakini nitashangaa zaidi iwapo kuna watu wawe magamba au wengine watakaoshiriki hayo maandamano. Kwanza ni ya nini? hawana hata aibu? Nafikiri ni wakati sasa wa watanganyika kuonyesha kwamba tuna akili na tunazitumia tofauti na hawa watawala wanavyofikiria. Huyo 6 na mwakyembe waliokuwa wanaonekana wa maana wamepewa vyeo ambavyo vimewamaliza kabisa ni afadhali hata wangeendelea na hiyo ccj yao. Ingefaa sana watu wa Mbeya kwa niaba ya watanganyika wengine wawaache waandamane wenyewe na wake zao ili watambue kwamba watanganyika hawafurahii jinsi nchi inavyopelekwa. Hiyo mbeya yenyewe iko kwenye list ya kanda yote ya kusini inayouzwa kwa wamarekani hivi karibuni. Ninyi shabikieni tu nchi inakwenda hiyo
 
  • kama kweli unalo sema hawa wanapenda aibu tu mbeya kwa sababu;
  • mawaziri walizomewa walipo tumwa kuelezea uzuri wa bajeti pale Ruanda - Nzowe ( Uwanja wa Dr W. Slaa)
  • raia walilala barabarani pindi RAIS JK anapita na walimzomea akaahadi kuunda kamati ya vijana ili kuchunguza kero zao jambo ambalo hadi sasa halijafanyika (hii ilikuwa Mwanjelwa katikati ya JIJI
  • Msafara wa JK ulipigwa mawe Chunya
  • Malecela na Mwandosya walizomewa Uyole walipo kuwa wanamtambulisha Shitambala
  • wameibwaga CCM katika uchaguzi wa mbunge kura 23000 CCM na 46000 CDM
  • MATUKIO YAPO MENGI HAWA WAZEE WAFANYE MAANDAMANO SEHEMU NYINGINE MBEYA WANATAFUTA AIBU BURE
 
Baada ya CCM na Baadhi ya Viongozi wake,Wakiwamo wabunge Kubeza Maandamano ya Amani ya CDM, Nao yamewakuta,nao wanaibukia mbeya kufanya maandamano makubwa yatakayoongozwa na Sitta.
Swala langu Je?Maandamano ya wale ni Uvunjifu wa Amani na Yetu Je?
Ni kazi kweli kweli!
Nilipokuwa mwanafunzi wa sekondari miaka ya zamani sana tulikuwa tukiamshwa kukimbia mchakamchaka. Rafiki yangu wa Tanga akamuomba mwalimu wa zamu gari la kukimbilia mchakamchaka.

Bila shaka Kilango na 6 watakuwa na helikopta na magari ya kufanya maandamano.
 
Loud speaker ilikuwa inapita mji mzima hapa Mbeya leo asubuhi na mapema kutangaza maandamano
Tarehe sikumbuki lakini kati ya waliotajwa kuwepo kwa mujibu wa tangazo hilo ni
Nape Nauye
Samwel 6
Anna Kilango
Mtangazaji hakusema hasa lengo la maandamano,i guess ni mambo ya kuvuana magamba na updates zake
 
Baada ya CCM na Baadhi ya Viongozi wake,Wakiwamo wabunge Kubeza Maandamano ya Amani ya CDM, Nao yamewakuta,nao wanaibukia mbeya kufanya maandamano makubwa yatakayoongozwa na Sitta.Swala langu Je?Maandamano ya wale ni Uvunjifu wa Amani na Yetu Je?Ni kazi kweli kweli!
6 ni mnafiki ana uchu wa madaraka. Mama kilango alijifanya kupiagania ufisad sasa hvi wamemficha sasa hivi.
 
Mimi ninasikitika na naumia na watu wanaomwona huyu mroho wa madaraka Sitta kama mpigania haki ua hali duni ya watanzania badala ya kumwona kuwa mtu anatumia watu watanzani masikini wasiyojua leo kutakuchaje kwa japo chips dume za muhogo kwa ajili ya manufaa yake na familia yake kwa nini huyu haoenekani na watanzania ni nini hasa Sitta katika uhai wake wa miaka isiyo hesebika serikalini alichofanyia watanzania zaidi ya unafiki tu? yeye kukosa uwaziri Mkuu alileta kasheshe bungeni aliendesha bunge kwa unafiki unafiki kwa chuki binafsi kwa maslihi binafisi akijificha mgongoni mwa anapinga ufisadi kumbe UWAZIRI MKUU TU huyu na RA NA ED NA AC ni afadhali wao kuliko huyu nashangaa CCM na KIKWETE Wanamwogopa na kumtukuza tukuza sijui kwa lipi?
 
Inawezekana ikawa madhumuni ya maandamano ni kusherehekea kujivua nyazifa zote alizokuwa nazo ROSTAM AZIZ kwenye CCM!
 
huamini au,yule SITTA hawezi hata kusema maneno matatu mfululizo anaweza kutembea kweli kama sio utani??LABDA KMA MAANDAMANO NI YA MAGARI NA HEDKOPTA

Mzee kwenye RED hapo... unanikumbusha mbali sana, lugha gani hiyo?
 
wabunge wa ccm samwel sitta, mwakyembe, ole sendeka, anna kilango ambao ndio makamanda wa kupambana na ufisadi jpili watanguruma ktk kiwanja nzovwe mjini mbeya kabla ya kutakuwa na maandamano yatakayopokelewa na nape nnauye
 
Back
Top Bottom