Just Imagine. "angaliikuwa Zitto, Shibuda, Lissu,Mbowe" NEC pangalitosha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Just Imagine. "angaliikuwa Zitto, Shibuda, Lissu,Mbowe" NEC pangalitosha?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Jul 16, 2011.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Just imagine. baada ya Rostam kutangaza kujivua gamba na kuamua kujitangaza wazi kwamba hata ubunge amejiuzulu. lkn tume ya uchaguzi hasa mzee kiravu ambae anasifika kwa kutoa taarifa za haraka amekumwa kimya.na inasemekana hata maoni tu kutoa hataki . tunaamini kiravu anangoja barua rasmi kutoka kwa CCM au Rostam ndio atanagazaje Jimbo kuwa wazi
  Lkn swala hapa dogo tu.
  kwa mfano Kauli hiyo ya kujiuzulu kwa ubunge kungalitokea ndani ya vyama vya Upinzani hasa mbowe, lissu, zitto, Akilimali, kafulilla. jeee mzee kiravu asingekuwa Jino nje?
   
 2. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Jamaa( NEC na CCM kwa ujumla), wana kitete; wanajuta, wanaona kwenye kitengo chao cha uchakachuaji wa haki za watanzania wamepoteza kiongozi na dalali wao mashuhuli; nafikiri hata isingekuwa preshapresha ya people's power, CCM kujivua gamba na kauli kuwa RA apime mwenyewe na atimaye ajiuzulu isingetolewa: sasa wananchi tuko makini tutaona jeuri wataitoa wapi, kitendo cha RA kujiengua madudu ndani ya CCM na NEC yatafichuka tu..
   
 3. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mada zisizo na kichwa wala miguu zinajaza forum tu..!
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 764
  Trophy Points: 280
  Mafia kwenu
   
 5. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahaaaa haaahahaaa hapa napita tu jamaa
   
 6. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahaaaa haaahahaaa hapa napita tu jamaa
   
 7. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  naprogram software kwa ajili ya kuzifuta thread mbovu kama hii.
   
 8. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bora kama ni kweli maana mtu anajiandikia tu ilimradi nayeye aonekane ameanzisha mada
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Sio kila mada unapaswa u'comment, km unaona haijakushika ni vyema uipotezee. Mtoa mada kajenga hoja hapo juu, kajaribu kujenga link ya kiutendaji kati ya Ccm-ofisi ya msajili wa vyama vya siasa- na upinzani, msome vizuri then changia km huwezi potelea mbali.
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Usifate mkumbo, changanya na akili zako!
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mnaharibu maudhui ya thread za wenzenu!
   
Loading...