JK nae kujivua gamba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK nae kujivua gamba?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by eliesikia, Jul 16, 2011.

 1. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Mbona sijaona waandishi wa habari wakimfuata Mhe JK na kumuuliza nae lini atajivua gamba.
  Wameng'ang'ania Mhe Lowassa ambaye alishajivua gamba mwaka 2008.

  Aliyebaki kujivua gamba kwa tuhuma za ufisadi na mkuu wa kaya tuu Mhe JK basi..


  Uchaguzi uitishwe tuwape CHADEMA nchi.

  Kwishnei..

  Aksanteni Saaaaaana.
   
 2. O

  Omr JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kula kwanza kabla hujavuta bangi lasivyo hii ndio madhara yake.
   
 3. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kuitisha uchaguzi tena leo hii hakutoshi kwa vile tulikuwa na uchaguzi mwaka jana tu; inabidi sasa uonegee na Tume ya UCHAGUZI kwanza kwa vile ndiyo iliyomtangaza K.I.Kwete kuwa ni ndiye RisAiSI pekee ya kutumaliza kihalalai.
   
Loading...