Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Si siku nyingi zilizopita tumeona jinsi watu wananzia wanaopigwa na mgao wa umeme au unaweza kukuta hata nyumba zao hazijaunganishiwa umeme wakizimia na kulia siku ambayo RA aliachia ngazi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hellow waungwana hebu tujaribu kuwaza na kuwazua hoja zinavyoendeshwa bungeni. Utamsikia mweshimiwa mbunge anapopewa nafasi ya kuchangia hoja ananza na kusema mimi naunga mkono hoja asilimia mia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HOTUBA YA NGELEJA Katika hotuba yake, Ngeleja alisema mradi wa MW 100 wa Dar es Salaam utakamilika Desemba, mwaka huu, lakini utaanza kuzalisha umeme miezi 18 ambapo serikali itakuwa inajenga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tuko pamoja lakini mmoja anakanyaga mikono ya wengine.
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Nawapa hongera sana Wabunge wa CCM chini ya kamanda wao Spika Makinda. Mshikamano wanaouonesha hivi sasa ndio unaotakiwa kwani unaondoa kabisa matumaini ya Watanzania kuwa anaweza akatokea...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu mzee anaonyesha huko magamba yuko kwa bahati mbaya maana ameongea kwa uchungu sana juu ya Meremereta na amesema hataunga mkono hata kidogo hoja ya Ngereja. Eti jeshi wameona wamemaliza madini...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kumbe Mawaziri wetu ni wakarimu kiasi hiki! Jana Mbunge Machachari Mh.Anne Kilango,Akichangia hoja ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Sauti ya Msisitizo na Kiapo kikali alisema katu hataunga mkono...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wazazi ya Sangu ilyoko Mbeya wamelalamikia CCM kuwalazimisha kushiriki kwenye maandamano yao yatakayofanyika leo huko Mbeya. Chanzo: Nipashe. CCM nawashauri...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
wana jf huko mbeya tumepata taarifa ya diwani wa chadema kujiuzulu, tunajua jimbo la mbeya limeshikiliwa na chadema, tunaombeni taarifa tatizo kubwa lililopelekea huyo jamaa kuachia ngazi, au...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Taarifa za ndani, zinapasha kwamba katika harakati za uchaguzi wa Rais za mwaka 2005, Kikwete alijiandaa kuhamia CHADEMA iwapo NEC ya CCM isingempitisha kugombea Urais. Na inasemekana kwamba...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Ktk hali ambayo siielewi ktk suala la siasa hasa ktk jiji la Arusha, leo majira ya kuanzia saa 8:30 asubuhi limepita gari la matangazo almaharufu RAHA PROMOTION la jamaa mmoja anaejulikana kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu aliulizwa ni lini Mh Sitta ataondoka kwenye nyumba ya Spika huko Masaki maana sio Spika tena. Kwa maelezo ya mbunge aliyeuliza swali ni...
2 Reactions
73 Replies
7K Views
nilivutiwa sana na mjadala bungeni jana, ni dhahiri baadhi ya wabunge walionyesha hisia kali kutokana na serikali kutokuwa na maamuzi muafaka juu ya mgao wa umeme na matatizo mengine kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
By In2EastAfrica - Sat Jul 16, 12:26 pm Industry, Trade and Marketing deputy minister Lazaro Nyalandu Kawe legislator Halima Mdee (Chadema) has said that a foreign company, Al Ghurair...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Ndugu zangu, Jana nilipokea barua kutoka kwa Mtanzania anayeishi Ujerumani. Barua hii imenigusa sana. Imechapwa kwa ujumla kwenye http://mjengwa.blogspot.com . Nitaweka hapa mwanzo tu wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
jana nimemsikiliza akiongea kuhusu jeshi letu, mbona huyu mama anaongea kama mtu mwenye mamlaka? mbona wee mzee wa mishen town usimpe uwaziri huyu mama? mama lakini mbona unazeeka haraka? take it...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa takribani wiki moja hivi ndugu Sitta alikaimishwa kuongoza shughuri za serikali bungeni. Kwa tuliofatilia bunge tulimwona jinsi utendaji wake ulivyokuwa na hii ni tathmini kwa mtazamo wangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kung'atuka Rostam kwabaki siri ya JK Send to a friend Friday, 15 July 2011 20:36 0diggsdigg Waandishi Wetu UAMUZI wa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz kuachia nyadhifa zake ndani ya chama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hii ni awAmu ya pili kwa zito kuwemo bungeni akiwawakilsha wakazi wa KIGOMA KASKAZINI, kwa kipindi chote mpaka leo ZITTO hajawhi kusimama bungeni kuwasilisha kuhusu jimbo lake. KIGOMA ni mkoa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Msaada wadau, kama kuna mtu anafahamu website tofauti ya TAMISEMI, wizara nyeti sana hapa nchini....kila nikiingia nakuta hivi.... Warning: mysql_connect() [function.mysql-connect]: Access...
0 Reactions
0 Replies
15K Views
Back
Top Bottom