Serikali kuondoa polisi North Mara Gold Mine

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Serikali itandoa polisi wote wanaolinda mgodi wa North Mara Gold Mine. Polisi wataondolewa kwa awamu katika kipindi cha miezi miwili ijayo. Serikali kupitia polisi imeshaitaarifu Barrick Gold watafute walinzi wao wenyewe. Kuanzia mwaka 2008, jumla ya 50 walikuwa wanalinda huo mgodi. Habari kwa mujibu wa DOW JONES.
 
Kazi ya kulinda huko ilikuwa inapatika kwa Rushwa kubwa sana ndani ya Jeshi ya Polisi. Laana ziende kwa Masawe na Mwema
 
WAle waliokuwa wanalinda wanaweza wakaacha kazi jeshini waendelee kulinda na kuua Raia Ukila nyama ya Binadamu huachi
 
Wale polisi walioua raia wetu watafanywa nini?

Jana nimeongea na mtu mmoja akiwa Tarime kasema haki za watu au binadamu wanafanua utaratibu wa kufungua kesi lakini akawa na wasi wasi kukumbwa na zengwe kubwa ikiwa ni pamoja na kupewa mlungula .Sasa sijui .
 
Inasikitisha sana ila nadhani hii ni hatua ya kwanza ya serikali maana ilikua ni vigumu kwao kukubali kua walio ua ni watu wao wenyewe. sasa security contractor akiua hata mtu mmoja itakua rahisi kwa serikali kuingilia. Sina uhakika ila nadhani itakua hivo
 
Back
Top Bottom