Mbowe ndani ya Bunge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe ndani ya Bunge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PrN-kazi, Jul 15, 2011.

 1. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Aisee, napita: taarifa ni kwamba Mbowe yuko anatema cheche Bungeni, walioko karibu na TV tune TBC, ushuhudie kinachoendelea Dodoma
   
 2. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huku hakuna umeme ndugu, kama vp tujuze kinachoendelea
   
 3. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Aisee jamaa ameshusha nondo za ukweli!anasema hatuwez kuvumilia slogan za kuvua gamba wakat wananch wapo gizan!pia anashangaa makamba na waziri wanaongea lugha tofauti,kamkaribisha aende chadema wafanye kazi!ukumbi wa bunge ulikua kimya hakuna anayegonga bench wala nn!ameongea mengi sana!kasema pia wizara ya nishati igawanywe!nishati iwe peke yake na madini iwe peke yake!pia amehitimisha kwa kusema kuna kampuni inaitwa orca!ni wasanii wanajisifu jins walivyokwepa kodi ya 13bilion.
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Huku sauti za majenereta zinatuua huku! Hatusikilizani.
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,242
  Likes Received: 3,784
  Trophy Points: 280
  Tupe habari huku JK na Ngereja wametu blackmail na kitu chao!
   
 6. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Leteni mambo wakubwa
   
 7. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Tupeni zaidi wakuu, huku tumepigwa unawanted in this country!!
   
 8. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hawa wabunge wa ccm wana matatizo, muongeaji Mhe Gaundensi-mbunge kutoka Mbinga aliyefuata kuchangia baada ya Mbowe, badala ya kuchangia mstakabali mzima juu ya nishati na madini; yeye mojakwamoja kaanza kushambulia hoja za Mbowe na kuzitolea majibu mepesi; sielewi nafasi yake hiko wapi ni waziri mbadala wa nishati na madini?
   
 9. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kuna huyu mbunge wa jimbo la kwimba!naona hata kiswahili kinampiga chenga!sijui ubunge aliupataje!kaazi kweli kweli.
   
 10. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Imekuwaje tena mbona endelaa kutupa taarifa.
   
 11. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ehe ametumia lugha gani?
   
 12. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  CCM kilichobakia ni kuforce kwa nguvu mambo yao ya kitapeli yapite. Lakini sasa sisi wala hatukipendi tena maaana CCM ni wanafiki ndo haohao wamesababisha tunaishi maisha ya kubahatisha hii leo.
   
 13. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Hamna lugha ya matus, wala ufutwaj wa kauli. Acha kupotosha watu.
   
 14. Mathias

  Mathias Senior Member

  #14
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Unapotosha ndugu yangu sote tumeangalia, kilichofuatia baada ya mda wake kuisha ni Mh Lukuvi kumpa Mh Mbowe taarifa, kwamba kamati ya bunge na nishati sio cha ccm niya bunge na pia Lukuvi katoa ufafanuzi kuhusu legitimacy ya serikali. Ukweli ukuweke huru ndugu yangu.
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  up dates plzzzzz
   
 16. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hayo matusi mbona hatujayasikia?utakua unaangalia tv asilia!sasa hv anachangia Nyambari nyangwine!
   
 17. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  amesema haungi mkono hoja hadi apate majibu ya maswali yake!anasema vijijin kwao hakuna umeme!mbona haongelei lile la kupigwa?
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  wewe mama magamba thibitisah alichosema .. kasemaje? andika hilo tusi hapa ..
   
 19. M

  Mnyalu Member

  #19
  Jul 15, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha uongo wewe,hata sie tunafuatilia kwa tv za betri.
   
 20. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  la muhimu nililolisikia ni kuwa watatumia nguvu ili umeme unaoenda nyamongo mgodini utatumika na wananchi!kasisitiza wataushusha kwa nguvu.
   
Loading...