Nape kuendelea kutetea matumizi mazuri ya rasilimali za nchi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape kuendelea kutetea matumizi mazuri ya rasilimali za nchi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MKWECHE, Jul 15, 2011.

 1. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nape amedai ataendelea kutetea matumizi mazuri ya Rasilimali za Taifa!Kadhalika,kuna baadhi ya watu matajiri hawapendezwi na jitihada zake na wamepanga kumchafua!
  Jamani mie Mkweche mnisaidiage mwenzenu kwani,mpaka dakika hii sijaona hizo jitihada zake za kutetea rasilimali za nchi!
   
 2. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Duh....Siujui ni lini hasa alianza kutetea Raslimali za nchi
   
Loading...