Emergency plant to ease power rationing | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Emergency plant to ease power rationing

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Jul 24, 2011.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,810
  Likes Received: 83,207
  Trophy Points: 280
  [h=1]Emergency plant to ease power rationing[/h]

  By JOHN MBALAMWEZI

  Posted Sunday, July 24 2011 at 12:07
  THEA EAST AFRICAN

  Tanzania has turned to Swedish firm Siemens Energy for industrial gas turbines in a quick fix attempt to alleviate the power rationing crippling the country.

  Siemens Energy is to supply three industrial gas turbines driven by natural gas, which is abundant in the country, with a combined capacity of 100 Megawatts, for the Ubungo power plant.

  According to Tanzania Electricity Supply Company (Tanesco), the three turbines will be powered by natural gas through a pipeline from the Songo Songo gas field off the coast of Tanzania.

  Tanesco communications manager Badra Masoud, told The EastAfrican in Dar es Salaam that the power plant will be constructed by Norway-based Jacobsen Electro AS and will cost about $124.8 million upon completion in June 2012.

  The Tanzanian government has financed 15 per cent of the project with the balance of 85 per cent being provided by HSBC Bank of Norway under a loan agreement.

  Ms Masoud said that connection to the grid is planned for late 2011, which it is hoped will bridge the 376 MW shortfall.
  "Once completed, the project will fill the gap in generating electricity and improve the availability and reliability of power supply in Tanzania," she added.

  A drastic drop in the water level of the Mtera hydroelectric dam in Iringa Region forced Tanesco to announce an alternating power rationing programme ushering in 12 hours of power cuts daytime and six hours at night in most regions at the end of June.

  This highlights Tanzania's over-reliance on hydro power.

  Tanzania's interconnected system has an installed capacity of 773 Megawatts, of which 71 per cent is hydropower.

  Markus Tacke, chief executive of Siemens Energy, told The EastAfrican in Dar es Salaam last week that the turbines to be installed - the SGT-800 - are among the most efficient industrial gas turbines in the market. "With our gas turbines, we can support the development of a reliable power supply in Tanzania," he said.

  In another development, a conglomerate led by British Energy Company, Globeleq, plans to invest a total of $120 million to double gas output in Tanzania for power generation.

  According to Christopher Ford, the Songas managing director, the $120 million project will deliver approximately 140 million cubic feet a day of gas to Dar es Salaam that will almost fully utilise the gas reserves at Songo Songo island and allow Tanesco to boost its power generation.
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hivi Tanzania tunahitaji umeme megawatts ngapi? mbona kila nchi tajiri iko hapa kutusaidia umeme lakini bado mgao upo? Marekani na Symbion yao wap, Agreko wamerudi, Songosongo wapo, Kiwira nayo tena,Norway wamo na sasa Sweden?
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,810
  Likes Received: 83,207
  Trophy Points: 280
  Mkuu FJM, utitiri wa makampuni unaongezeka lakini mgao ndio unazidi kushamiri. Ni uzembe wa hali ya juu wa hawa wanaojiita Viongozi wakuendelea kuingia mikataba chungu nzima ya umeme kiduchu kiduchu ambao hautoshelezi kabisa mahitaji ya nchi nzima. Wangekuwa makini basi wangeingia mkataba mmoja mkubwa wa 2000MW ili Watanzania tusahau kabisa matatizo ya umeme kwa miaka chungu nzima ijayo.

  Hawa Symbion tumeambiwa wanazalisha chini ya kiwango chao halisi kutokana na upungufu wa gas, sasa sijui kama kutakuwa na ongezeko la uzalishaji wa gas au ndio utakuwa usanii wa kuingia mkataba mwingine halafu mwisho wa siku tunaambiwa Siemen wana uwezo wa kuzalisha 376MW lakini kutokana na upungufu wa uzalishaji wa gas kule songo songo wanazalisha 40MW.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  bak............... ni upuuzi kwa taifa lenye kila natural resources na wawekezaji (ambao kama kweli wana nia njema na sisi wangeweza ku-advance investiment kwenye umeme in return of relief/exemptions) kuwa kwenye emergency mode for over five years!!

  This is utterly crap and unacceptable by any heaven/hell standards

  There is no better way to put it hata kama uwe punguwani kiasi gani

  we dont plan strategically, we use five years election or sorry erection rather as our benchmark in plans

  MY FOOT!!
   
 5. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nadhani ni bora wanyamaze maana kila siku wanaongelea miradi tuuuuu,hakuna utekelezaji,ukiona wanaanza kutekeleza ujue tayari ufisadi umepita,hii ndio tanzania ya bila baba wataifa,ngoja tusubiri
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mara tuna sources nyingi za pawa, mara ni ukame, mara mabomba ya gesi madogo, mara mitambo ya ubungo inatengenezwa ila umeme upo, mara IPTL mara mimi sio jua mara sijui nasema jisui tena sijui na ukiniuliza mimi sijui

  Mara sijui jaketi lako si sawa na umeme

  Nimechoka, na nahisi ntakua kichaa sababu ya umeme
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Nahisi kuna watu wanachomekea vikampuni vyao uchwara huko kwenye sekta hii muhimu
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  ukiona manyoya ujue keshaliwa! hii mambo ya emergency power,kuna emergency gani wakati tushakaa gizani nusu mwaka+? tuliambiwa emergency tukaishia mdomoni mwa dowans! watafute suluhisho la kudumu kwa utaratibu, we ar nt going anywhere!
   
 9. A

  AbasMzeEgyptian JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 406
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80


  you cant be serious


  kuna mtu aliuliza ten yr plan ya umeme Tanzania iko wapi?


  akili zako zote bado unafikiria nchi ambayo kesho kutwa itakuwa na watu milioni 50 ambayo inataka kuwa industrial hub ya Africa iwe na umeme wa megawatts 2000?

  give me a break!


  Ethiopia wana mpango wa kuzalisha 20,000in 10 yrs wewe bado unapiga hesabu za 2,000?
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,810
  Likes Received: 83,207
  Trophy Points: 280
  Huo niliouweka hapo juu ni mfano tu...haina maana kila kinachoandikwa na BaK au mchangiaji mwingine yeyote yule hapa jamvini kibebwe kizima kizima bila kukiboresha zaidi kwa manufaa ya nchi kwa miaka chungu nzima ijayo.
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  bt i guess u were right! we dont need to bite what we cant chew! mwisho wa siku tutaishia kutema tu! kama hata megawati 100 we ar dillydallying, iwe 20,000 MW? we ar far too silly to act ethiopian! utafanyika ufisadi wa kufuru hapa tubaki tunashangaa tu!
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hatuwezi kuwa na mpango endelevu wowote kwa serikali hii ... mfano ni maeneo ya makaburi tu!!! hakuna

  tafakari
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kila kukicha sisi ni watu wa emergence tuu!
  Izi ni akili za kudownload unachanganya na shakewell before use
   
 14. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #14
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  WAMESHAJUA SEHEMU YA KULA HELA HAPA. TATIZO HAPO UTAKUTA KAMPUNI NYINGI LKN NYINGINE IKO KUZALISHA 20MW, nyingine 10MW nyingi 30MW, nyingine 25MW, halafu ukiangalia sehemu zenye miradi mikubwa hawazigusi. Utakuta tu wote wamejazana hapog=hapo dar utafikiri mikoa mingine haihitaji umeme. Ila ikifika wakati wakampeni lol! Viongozi wetu washikaji siyo kabisa lazima tuwavue madaraka 2015
   
 15. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,467
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  A short term solution is to install a power generators which can use both natural gas and MDO since there is a shortage of natural gas they might switch to (Diesel) MDO.And when the production of gas improves, and then they might change over to Natural gas.
  The second fast alterative short term solution is to hire a Power generating Barge which can be towed to the port Of Dar from overseas that might take from 14 days to 30 days to arrive in Dar port, The barge will connect its terminal to our grid, no installation of plant is required, since it will be berthed in port.
   
 16. e

  elburliz Member

  #16
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahaaa,Njowepo u make me laugh..hapa nilipo we have a total blackout bt JF ni burudani tosha,takes away the frustration of having an idiot for a president..whatiof!
   
 17. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Kiasi gani cha umeme kitatufanya tukawa ok? 600Mw? vinginevyo tufunge midomo tu maana hatuna jipya
   
 18. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Hizo plan wanazosema. Hazisound kama qquick solution, nii yale yale tu ya mitambo si kama kununua koti!!

  My foot, jk and his cabinet!!
   
 19. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hahahaha!Mi sijui, kwani mimi ni mawingu?Tunajitahidi, tunatengeneza umeme wa hewa,Megawatt 140, bado kidogo, Tumeweka order ya kiti moto roastg....oh, sorry, mitambo ya megawatt,Megawatt zilizobaki tutamuuzia masawe.Mi sijui kwa nini watz hamuelewi, au kila mtu apewe megawatt yake!
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  L:OL... hazitatosha... labda tugawie wale walioanzia miaka tisini na moja hadi mia na moja.... maana ndio wanaweza kuwa mia mbili hivi
   
Loading...