Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Closed
Nipo maswa katika ofisi za Chadema, kwani kuna taarifa kwamba Mbunge wa Maswa Magharibi mkoani Shinyanga, John Shibuda (CHADEMA) ametangaza kukihama Chadema. Nafatilia kwa undani wa habari hizo...
0 Reactions
72 Replies
7K Views
Pamoja na ugunduzi wa mafuta hapa nchi lakina uganda wana amini TANZANIA tunaweza kuwa soko lao la mafuta (refinery) nini kinawapa waganda ujasiri huu? hawana maliasili mafuta kama sisi, ina...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Chadema tunawshukuru wa kupigia kelele ufisadi lakini una kitu kienishangaza . Lakini kuna issue hii ya Nishati imetokea mmekaa kimya au kwa kuwa imeazishwa na magamba basi mnaona si haki...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Nape Nnauye amewapokea wanachama Wapya wa CCM Tawi la SMMUCO Tawi la Tumaini HIMO. Jumla ya wanachama Wapya 193 wamejiunga na CCM na wamefungua Tawi lao...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
Ripoti ya Uchaguzi Chadema Ripoti ya Kamati iliyondwa na Chadema kuchunguza maridhiano ya madiwani wake ,CCM na TLP Arusha Mjini, imesema hakuna tuhuma za rushwa katika mchakato huo kama...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Hamna shaka watanzania badowana mapenzi ya dhatikwa raisi mstaafu Mkapa, pamoja na matatizo yake yote katika utawala wake ,alijipambanua kama kiongozi jasiri,sio mnafiki aliyekuwa na vision ya...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Mhitimu mwanzilishi 1961 afunika mahafali UDSM Mwananchi Sunday, 28 November 2010 20:59 Jackson Odoyo CHUO Kikuu cha Dar es Salaam kimeadhimisha mahafali ya 40 kwa staili ya aina yake...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Muungano wa Tanzania kimsingi,ulivunjwa rasmi April 1964, na yule yule muasisi wake Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Na Laila Abdulla Naelewa utashangaa kusikia hivyo. Mara tu baada ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Closed
Naomba nianze kwa kusema hivi...chama cha democrasia na maendeleo kina wenyewe ambao ni wachaga...Tindu lisu aendelee kupiga kelele ivo ivo cku akitaka uongozi wa juu ndani ya cdm ndo atawajua...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Uliutaka urais na ukaupata. Hakuna heshima nyingine tena utakayoipata zaidi ya hii uliyoipata ya kuwa rais wa taifa letu. Nakusihi kama kweli unaipenda nchi yetu achia madaraka ili mwingine nae...
6 Reactions
94 Replies
8K Views
Click Vidio Ibrahim_4 | mzalendo.net on blip.tv
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana kwenye kikao cha bunge wakati mbunge wa CHADEMA- Leticia Nyerere alipokuwa anazungumza alikuwa akichanganya kiingereza na kiswahili, kuna mbunge mwingine simkumbuki jina wala chama chake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mpaka siku ile tutakapopata RAIS mwenye uchungu na nchi yake.ambaye anaweza kuwaprosecute wahusika wa skandali zote hapo juu,bila kujali wadhifa zao ,Ndipo taifa letu litasonga mbele.Tumeshikwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau jumamosi tarehe 30 july 2011, star Tv watarusha mdahalo wenye mada, Bunge la kumi na tanzania tunayoitaka, wazungumzaji wakuu watakuwa Mh. Ndugai Naibu Spika na Tundu lissu. Bila shaka hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
For the last two days sijasikia aliko rais wetu..najua yuko SA, but normally huwa tunaonyeshwa anachokifanya anapokuwa nje ya nchi. Cha kushangaza juzi na jana hatujamuona akirudi au kuambiwa yuko...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Mh Kafulila hasikiki kabisa kulinganisha na wabunge wenzake wa CDM. Tatizo chama chake au ni uwezo wa kujenga hoja. Sielewi kinachofanya Mbunge akubalike katika jamii ni hoja zake binafsi au...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Ni kweli Tanzania tumeishiwa kabisa watu wenye akili au ni masihara ya kuwaachia viongozi wawe ndio waamuzi wetu, maana nchi ni kama haina wataalam na wachumi kabisa wa kuweza kutuongoza au...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Takribani dakika kumi sasa, anatoa pongezi na shukrani. Mara Jk mara Kitwana Kondo, ngoja nieendelee kumvumilia
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Naingiwa na hofu kila ninaposikia migogoro ya aina mbalimbali ndani ya CDM. Zito, mitazamo yake na ukaribu wake na Tiss (waliojipa majukumu ya kuilinda CCM dhidi ya wananchi walioichoka kwa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Nazungumza kama supporter mkubwa wa CHADEMA na niliyemchagua Godbless Lema kama mbunge wangu. Niko mjini na niko mobile sana huwa nazunguka katika kata kadhaa za hapa mjini. Wananchi wengi...
9 Reactions
118 Replies
9K Views
Back
Top Bottom