TCRA inavumilia matusi na uvunjaji wa maadili kwenye Vyombo vya habari!

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
1,025
475
TCRA pale Mawasiliano tower mmekodoa macho mnatazama tu na ninyi mnachekelea, nini athari za segment hii kauzu kuliko dagaa na matusi haya wanayoyaporomosha wasanii hawa wa ZE COMEDY wanaonekana kukosa kabisa ubunifu kwa sasa na kuamua kuwafundisha watoto matusi kwa nguvu.

Hili si la kusubiri mpaka wanasiasa waongee Bungeni, chukueni hatua mapema, meno na kucha mmepewa mpaka watu walalamike ndo mjue kuwa ni kosa, tumieni vema basi weledi wenu kunusuru kizazi cha watanzania hawa wasiokuwa na uchaguzi wa mambo wanaojifunza lugha hizi zilizopitiliza mipaka na maadili ya makuzi mema.
 
Naunga mkono hoja.

NAUNGA MKONO PIA

faizafoxy

hope sio vile mnavyounga bungeni kila kutoka kasoro
just kiding

hao jamaa wanamambo mengi tu ya kurekebisha hata wanaume kuigiza kama wanawake ni fundisho hasi kwa watoto wadogo wa kiume
kila siku huyo dogo anapiga pamba za kike na kubinua mdomo
watoto wakianza ushoga mitaa kwa kutoelewa misingi ya huo ujinga wao wa kutumia wanaume kwenye nafsi za kike tusitafute wa kumlaumu
chukua hatua
 
ubunif kweshnehii sasa wameamua kuwa km wehu! mwanzon walipokuwa huku kwetu uchagani walikuwa poa baada ya kurudi magamba weeee,wamerudia vyupi vile vya VIPI!!??????,,,,, kama mkandanizwaji alivyokuwa anaviadresss vyupi hivyo, sasa ye ndo kawa vipiiii! teheteheteee
 
Anakusoma Faiza, Aha kumbe umesema Kidin atakuwa amekuelewa haa ha haaa.
YES hili la ushoga pia ni hatari hivi kweli hakuna wachekeshaji wa Kike mpaka midume ipake lip stick, mbona kule futuhi wapo wachekeshaji wa kike au ZE KOMEDI wao hawawaoni na kibaya zaidi hadi akina Bambo kule EATV nao wameanza upuuzi huu ambapo mwanzo hawaukuwepo. Si matumaini yupo, apewe shavu
 
ubunif kweshnehii sasa wameamua kuwa km wehu! mwanzon walipokuwa huku kwetu uchagani walikuwa poa baada ya kurudi magamba weeee,wamerudia vyupi vile vya VIPI!!??????,,,,, kama mkandanizwaji alivyokuwa anaviadresss vyupi hivyo, sasa ye ndo kawa vipiiii! teheteheteee

TCRA wamekaa kimya kabisa mpaka alipuke mbunge mjengoni ndio utasikia wanaamka, lakini hata TBC hivi chombo cha taifa hakina kweli bodi ya maudhui au ndio wakurugenzi wote hawajui hata miiko ya weledi wa habari, bora liende
 
kwa kweli wanavuka mipaka.

This is serious Mkuu, kama wiki iliyopita kile kibabu kilitukana hadi nikazima TV maana jembe dogo hapa home ni mdadisi kuliko Isaac Newton hakawii kesho kumwita mama yake Mjusi Guruguja, Jibwa weee
 
Nakuunga mkono mkuu katika hili!! Lakini elewa kuwa siyo mamake tu hata baba mwenyewe unaweza kuitwa Mjusi Guruguja, Jibwa weeeeeee!!

Hata mimi nilishangaa matusi yalivyokuwa yanaporomoshwa nilipotaka kuzima TV watoto kidogo wanirarue! Sasa haya maadili gani wakuu? Yaani inakuwa haina maana kuendelea kuwa na mamlaka ya kudhibiti mawasiliano isiyokuwa makini katika kufuatilia mawasiliano yanayotolewa na TV zetu. Au wako hapo kwa ajili ya kunyonya fedha yetu walipa kodi?

TCRA ina msomi wa kuheshimika lakini imeshindwa kuonesha makucha, hebu amkeni bwana, usingizi tuu!!!!!!!!
 
Jamani kwani swala hili ni la TICRA au la Baraza la Sanaa la Taifa na Wizara inayoshughulikia mambo ya utamaduni?
TCRA wamekaa kimya kabisa mpaka alipuke mbunge mjengoni ndio utasikia wanaamka, lakini hata TBC hivi chombo cha taifa hakina kweli bodi ya maudhui au ndio wakurugenzi wote hawajui hata miiko ya weledi wa habari, bora liende
 
TCRA wamekaa kimya kabisa mpaka alipuke mbunge mjengoni ndio utasikia wanaamka, lakini hata TBC hivi chombo cha taifa hakina kweli bodi ya maudhui au ndio wakurugenzi wote hawajui hata miiko ya weledi wa habari, bora liende
hakuna kitu kibaya kama madaraka kivuli yaani mtu unakuwa mkurugenzi af kunamtu mwingine anakuamrisha yaani unakuwa kama kanyaboya unaeleaelea tuuu hujielewi khaaaa bora ukalime kijijinia. make matusi haya yoooote ya matz yanakudondokea loool
 
TCRA wamekaa kimya kabisa mpaka alipuke mbunge mjengoni ndio utasikia wanaamka, lakini hata TBC hivi chombo cha taifa hakina kweli bodi ya maudhui au ndio wakurugenzi wote hawajui hata miiko ya weledi wa habari, bora liende
hakuna kitu kibaya kama madaraka kivuli yaani mtu unakuwa mkurugenzi af kunamtu mwingine anakuamrisha yaani unakuwa kama kanyaboya unaeleaelea tu hujielewi bora ukalime kijijini. make matusi haya yote ya watz yanakudondokea lol ni kama kilaza wa umeme
 
TCRA pale Mawasiliano tower mmekodoa macho mnatazama tu na ninyi mnachekelea, nini athari za segment hii kauzu kuliko dagaa na matusi haya wanayoyaporomosha wasanii hawa wa ZE COMEDY wanaonekana kukosa kabisa ubunifu kwa sasa na kuamua kuwafundisha watoto matusi kwa nguvu.

Hili si la kusubiri mpaka wanasiasa waongee Bungeni, chukueni hatua mapema, meno na kucha mmepewa mpaka watu walalamike ndo mjue kuwa ni kosa, tumieni vema basi weledi wenu kunusuru kizazi cha watanzania hawa wasiokuwa na uchaguzi wa mambo wanaojifunza lugha hizi zilizopitiliza mipaka na maadili ya makuzi mema.
I support this. japo sijaona hicho kipindi lakini Matusi, hasa haya yanayoonekana ni matusi ya kimjini....yani kama vile sio matusi tena, watoto wanayashika na kuyatumia sana hasa mashuleni.

halafu hili la kuvaa marinda hili na kujipaka wanja na kubinua midomo na ******.....Linaniudhi sana. Wanatakiwa waache ubinafsi, watafute waigizaji wa kike!!!
 
Fuatilia kesho jumamosi mkuu utakubaliana na mimi kwa dhati sasa, labda kama watachakachua baada ya kugundua kuwa upuuzi huo hakuna mtanzania makini atakayeweza kuufumbia macho.

Yale matuzi ni mazito sana
 
Jamani kwani swala hili ni la TICRA au la Baraza la Sanaa la Taifa na Wizara inayoshughulikia mambo ya utamaduni?

Marekebisho ya Broadcsting act ya Mwaka 2004 yaliridhia kuanzisha kwa TCRA - Tanzania Communication Regulatory Authority. Content zote wao ndio wanahusika nazo mkuu katika matangazo ya TV na Radio. Baraz la Sanaa wanadeal na maudhui ya nyongeza nyingine ya Input za media hasa filamu na Drama.
 
hakuna kitu kibaya kama madaraka kivuli yaani mtu unakuwa mkurugenzi af kunamtu mwingine anakuamrisha yaani unakuwa kama kanyaboya unaeleaelea tu hujielewi bora ukalime kijijini. make matusi haya yote ya watz yanakudondokea lol ni kama kilaza wa umeme

Umeoona eeeh na si kwamba hili walikuwa hawajaliona, ni basi tu no sense of responsibility
 
Ni kweli mkuu lakin BASATA wanahusika pia,kifupi ni kwamba hawa wameishiwa wanatukana mpaka aibu! KUIGIZA WANAWAKE NI UPUUZI AMBAO HAUVUMILIKI,WASHENZI KABISA!.
 
Back
Top Bottom